Aya semeni lingine Pierre Liquid huyo USA

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Screenshot_20190331-163213.jpg

Victor Wanyama amemualika Pierre Liquid kwenda Uingereza na kila kinachohitajika kwa safari atalipia yeye mwenyewe Victor.

Sasa kwa jicho la roho mbaya nani atakubali (anayeonekana mlevi, asiye na elimu afanikiwe kirahisi hivi?.

Majuzi kapokea mkoko wake nani atakubali?.
Aya kimzaha mzaha tu Pierre huyooo anaelekea USA mwezi huu wa kesho April.
 
View attachment 1059204

Kwa kweli jana Makonda kanisikitisha sana. Goo pierre!
 
Ni USA au Uingereza?

Ila tunamtakia Safari njema jamaa muda wake huu
 
Safari njema pieree, ufanikiwe mpaka bashite ashangae.
nikikuwa simfagiii huyu mtu lakini sasa namuonea huruma
 
Mjini ni ujanja tu ndo wakukuwezesha kuishi vizuri.

T[emoji769]
 
Back
Top Bottom