TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Victor Wanyama amemualika Pierre Liquid kwenda Uingereza na kila kinachohitajika kwa safari atalipia yeye mwenyewe Victor.
Sasa kwa jicho la roho mbaya nani atakubali (anayeonekana mlevi, asiye na elimu afanikiwe kirahisi hivi?.
Majuzi kapokea mkoko wake nani atakubali?.
Aya kimzaha mzaha tu Pierre huyooo anaelekea USA mwezi huu wa kesho April.