Kwa kweli jana Makonda kanisikitisha sana. Goo pierre!View attachment 1059204
Victor Wanyama amemualika Pierre Liquid kwenda Uingereza na kila kinachohitajika kwa safari atalipia yeye mwenyewe Victor.
Sasa kwa jicho la roho mbaya nani atakubali (anayeonekana mlevi, asiye na elimu afanikiwe kirahisi hivi?.
Majuzi kapokea mkoko wake nani atakubali?.
Aya kimzaha mzaha tu Pierre huyooo anaelekea USA mwezi huu wa kesho April.
LisubaHii aione muheshimwa sana Daud Bashite, mzee wa kuassassinate characters.
Maandazi sana wewe, ni bora ufikirie kubaka bar kuliko kufikiria kubaka kanisaniWhen Jesus say yes nobody can say no
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameen