A Arnold Ndosi Member Joined Aug 14, 2012 Posts 65 Reaction score 3 Dec 29, 2012 #1 kuna jambo moja ambalo linazungumziwa sana na watanzania hasa vyombo vya habari. Swala lenyewe ni MFUMO WA ANALOJIA NA MFUMO WA DIGITALI. Kiukweli sijui lolote juu ya dhana hizo, naombeni ufafanuzi juu ya hili plz huku mieleza tofauti zake.
kuna jambo moja ambalo linazungumziwa sana na watanzania hasa vyombo vya habari. Swala lenyewe ni MFUMO WA ANALOJIA NA MFUMO WA DIGITALI. Kiukweli sijui lolote juu ya dhana hizo, naombeni ufafanuzi juu ya hili plz huku mieleza tofauti zake.