Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewew si bado mtoto[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Mh ya nini mkuu hii?
Kweli Mkuu, au ni ndoto tu ?Hepi bethdei may u live beyond 2020 to see CCM out of power
Sawa ni kweli lkn the way ulivoileta nimecheka tuSiyo ukani nimemaliza tarehe kama ya leo, sema ilikuwa alihamis
Me ntafurahi ukibak na boxer[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] na me ntavaa khanga ili usiwe peke ako...Oooh no. Ntatia aibu supastaa akifanya kitu ata cha kijinga watu wanafurai Mi ntaonekana mwehu
Duh una moyo Mkuu...yan katika vitu ambavyo havipo kwenye akili yangu ni kufurahia/adhimisha siku ya kuzaliwa...binafsi huwa naona ni ujinga flan hv kuwaiga wazungu lkn kiukweli haina ladha kufurahia.Kumbuka kila jua linapozama ujue umepunguza siku ktk Salio la siku zako za kuwepo hapa duniani...kama una akili sawia hapo hakuna Furaha,pia nyie mnaofurahia siku zenu za kuzaliwa hv ushajiuliza duniani umeifanyia nini jema mpk hapo ulipo?au ukishakufa unataraji dunia ikukumbuke kwa lipi jema?..wenye akili kubwa wanasema hv "Kama hujazidisha lolote zuri ktk duniani hii basi katika dunia wewe ndo umezidi"... acheni ujinga,ya wazungu waachieni mwenyewe..siku ya kuzaliwa imalize kwa kumshuru aliyekuumba kimyakimya!!!Ninavyoandika ujumbe huu ndo nimegundua Leo ni siku yangu ya kuzaliwa daah, any way happy birthday to me
Mbona amekuwa muoga alijua ya kupigia master nn [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kaoge dogoWewew si bado mtoto[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
Kuoga tu
Ndo sababu sikutilia maanani adi nimekuja kumbuka Jioni hiiDuh una moyo Mkuu...yan katika vitu ambavyo havipo kwenye akili yangu ni kufurahia/adhimisha siku ya kuzaliwa...binafsi huwa naona ni ujinga flan hv kuwaiga wazungu lkn kiukweli haina ladha kufurahia.Kumbuka kila jua linapozama ujue umepunguza siku ktk Salio la siku zako za kuwepo hapa duniani...kama una akili sawia hapo hakuna Furaha,pia nyie mnaofurahia siku zenu za kuzaliwa hv ushajiuliza duniani umeifanyia nini jema mpk hapo ulipo?au ukishakufa unataraji dunia ikukumbuke kwa lipi jema?..wenye akili kubwa wanasema hv "Kama hujazidisha lolote zuri ktk duniani hii basi katika dunia wewe ndo umezidi"... acheni ujinga,ya wazungu waachieni mwenyewe..siku ya kuzaliwa imalize kwa kumshuru aliyekuumba kimyakimya!!!