Ayaaa! Time hii ninavyoandika hapa ndo nimejua Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Happy birthday dear,live long..
Nataka ubaki na boxer kama Diamond nikumwagie maji[emoji13]
 
Happy birthday dear,live long..
Nataka ubaki na boxer kama Diamond nikumwagie maji[emoji13]
Oooh no. Ntatia aibu supastaa akifanya kitu ata cha kijinga watu wanafurai Mi ntaonekana mwehu
 
Oooh no. Ntatia aibu supastaa akifanya kitu ata cha kijinga watu wanafurai Mi ntaonekana mwehu
Me ntafurahi ukibak na boxer[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] na me ntavaa khanga ili usiwe peke ako...
 
Hongera kumaliza mwaka na kila la heri 2016/2017 yako
 
Ninavyoandika ujumbe huu ndo nimegundua Leo ni siku yangu ya kuzaliwa daah, any way happy birthday to me
Duh una moyo Mkuu...yan katika vitu ambavyo havipo kwenye akili yangu ni kufurahia/adhimisha siku ya kuzaliwa...binafsi huwa naona ni ujinga flan hv kuwaiga wazungu lkn kiukweli haina ladha kufurahia.Kumbuka kila jua linapozama ujue umepunguza siku ktk Salio la siku zako za kuwepo hapa duniani...kama una akili sawia hapo hakuna Furaha,pia nyie mnaofurahia siku zenu za kuzaliwa hv ushajiuliza duniani umeifanyia nini jema mpk hapo ulipo?au ukishakufa unataraji dunia ikukumbuke kwa lipi jema?..wenye akili kubwa wanasema hv "Kama hujazidisha lolote zuri ktk duniani hii basi katika dunia wewe ndo umezidi"... acheni ujinga,ya wazungu waachieni mwenyewe..siku ya kuzaliwa imalize kwa kumshuru aliyekuumba kimyakimya!!!
 
Me ntafurahi ukibak na boxer[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] na me ntavaa khanga ili usiwe peke ako...
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] hahaha
ZAWADI KUBWA YA BEETHDAY HIIIII
 
Ndo sababu sikutilia maanani adi nimekuja kumbuka Jioni hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…