Ayatollah Ali Khamenei aongezewe ulinzi

Ayatollah Ali Khamenei aongezewe ulinzi

Kama watoto wa kiume wa kwanza walitembea kale za Misri, maji bwana ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga
 
Kisomo hakizuii Drones ila Electronic Jamming ndio inazuia.

Watu walolewa Dini ndio huwa wanafanya mambo kama Watoto.
Kisomo kinapigwa na Drone zinatengenezwa , Wewe si uliona makombora yale mpaka Saudi Arabia nae alizuia
 
Hata hivyo viongozi wa Iran wanalindwa vizuri!
Nadhani kwa historia ya Iran huyu Raisi ni rais wa kwanza wa Iran kufa akiwa madarakani! Kwa hiyo licha ya spiculations nyingi za kuamini Israel imehusu bado ulinzi ulikuwepo! Niseme ni kifo cha kawaida kilichotokea kwa sababu siku yake ilikuwa imefika.
 
There is no enough security that can guarantee anyone's utmost safety but in regard to the Iran case I would rather advise the Iranian leadership to change its foreign policy especially toward Israel from being the one for bellicose to more of a pacific dispensation otherwise incidents like the one that happened recently will linger in the Persian state.
Kwa kuwa wao waisrael wako immune hawawezi kupigwa kule ni piga nikupige haina mnyonge .Kama walivurumishiwa madrone na missile sasa wanamtishia nani yaani aogopewe ana nini.
 
Kwa kuwa wao waisrael wako immune hawawezi kupigwa kule ni piga nikupige haina mnyonge .Kama walivurumishiwa madrone na missile sasa wanamtishia nani yaani aogopewe ana nini.
Mkuu bado hujaona kuwa Israel Ni tishio au mpaka wamdondoshe mtu mzito unaemjua?
 
Kwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao,

Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua Ila ndo vile
Akae ndani asisafiri kabisa kama Osama
 
Akae ndani asisafiri kabisa kama Osama
Ndani au kwenye handaki? Maana jamaa ni hatari sana aisee. Yaan utungue Rais, Waziri wa Mambo ya Nje na Gavana Kwa mpigo? Tena kama unawinda ndege porini
 
Kwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao,

Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua Ila ndo vile
BILA Shaka huyo ndio anayefata🤣🤣
 
Back
Top Bottom