Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
- Thread starter
-
- #21
Leo France wamekiri wazi walimsaidia Israel kuangusha drones za IranWa Israel hawajakimbia tu hivi hivi bila sababu yale makombora ya Iran vishindo vyake vilikua ni noma Trump mwenyewe anasema tangu azaliwe hajawahi kuona mashambulizi kama yale na amekiri Israel imepigwa haswa, sasa lazima wana wa Israel wakimbie maana kombora likitua hapa hadi nyumba ya 10 lazima ipasuke vioo kwa mtikisiko
Mshtue Ayatollah atoke mapangoni. Wazayuni washarudi kwao.Ujumbe ndio huo Israel angejifanya kichwa maji Iran angeimaliza Israel yote.
View: https://www.youtube.com/live/lApYRMw7eHQ?si=mCrHvVQZ4D4AqEkY
Nimeona picha moja jamaa wamempiga picha Yuko ofissini kadirisha alikuwa hajafunga vizuri na wanasema hata yeye wakimtaka wanaweza kumfikia.Netanyahu kaachwa uchi na Ayatollah. Bila nguvu ya soda kutoka Marekani, saa hizi waisrael wangekuwa bado wanaishi chini ya udongo kukwepa makombora ya Iran.
Huto tu drones tuliopo bado ndani ya Iran tutamalizwa tuMshtue Ayatollah atoke mapangoni. Wazayuni washarudi kwao.
Watamuua kwa pressure huyu mzee🤣🤣🤣
Maneno ya Mwendawazimu hayo!!!Ujumbe ndio huo Israel angejifanya kichwa maji Iran angeimaliza Israel yote.
View: https://www.youtube.com/live/lApYRMw7eHQ?si=mCrHvVQZ4D4AqEkY
Kama waliwaua wote wanasubiri nini sasa kuifuta Israel??Jidangan'ye tu ukweli wameuliwa macommander na Mossad kikosi cha 8200 karibu wote pale Tela Aviv. Toka lini Israel alitoa siri zake
Tulizana tunawasubiri round ya pili ili tuwatandike vizuriKama waliwaua wote wanasubiri nini sasa kuifuta Israel??
Si bora huyo kuliko yule kichaa anaingiza watu wake kwenye vita ili akwepe scandal za mke wake 🤣Maneno ya Mwendawazimu hayo!!!
😁😁Mnyama Ayatollah Khamenei maneno kidogo makombora mengi
Waziri wa nje wa Israel anataka Europe wamfanyie sunction Iran, bada kuona hakuna walicho fanikiwa kule Iran. Sa ajabu hawa wakanisa bado tu wanamini Israel aliwapiga warabu kwenye siku sita. Sadat aliposema tunapigana na Nato sisi sio Israel alikuwa hajakosea. Israel ana vichwa vya Nuclear lakini hakuna anaye sema Israel anatishia ulimwengu, ikiwa hapo Gaza walitaka kupiga eti Nuclear si vichaa hawa.Yanawekera kwa kua hamkutegemea kilichotokea ....yaani jamaa hajatishika msimamo wake uko pale pale
Kipindi cha ijue Israel cha radio Maria kinaeneza chuki ya hatari sanaWaisral kuvumilia shida awawezi tumeona Vita ya siku 10 tu lkn tayali
walikuwa wanaikimbia Israel kwa miguu na mizigo yao !!
najiuliza vita ingechukua miez m3 JE kungebaki mtu uko Israel!!!!
IRAN shikamooo ..
Ujumbe ndio huo Israel angejifanya kichwa maji Iran angeimaliza Israel yote.
View: https://www.youtube.com/live/lApYRMw7eHQ?si=mCrHvVQZ4D4AqEkY
Mwenyewe kashakwambia anamiaka 86 kwaiyo mwili wake hauna thamani tena pia hata akifa yeye ahadi ya kweli ya waajemi haiwezi kufaNavyowajua wayahudi, yaani Ayatollah atauwa peke yake kama Rais wa Iran yule aliuawa kwa kuchomwa helicopter yake tu, yaani Ayatollah ajue MOSSAD wako Tehran kibao, na lazima watampeleka kuzimu, katu Myahudi hawezi kubali pamoja kawaua viongozi karibu wote wa Iran, ila Ayatollah ajue kabisa yuko within reach of Israel death squad!!!