Hii inaitwa kufungwa tumefungwa ila chenga tumewalaMbabe wa mazayuni huyuView attachment 3396092
nani ameshinda vita hii?Israel ni hatari sana, yaani wanasababisha mzee kama huyu na gauni lake ajifiche na kuishi kwenye shimo kama fukwe, tena ndani ya nchi yake, ukizingatia yeye ndiye kiongozi mkuu wa magaidi yote ya dini, anategemewa hadi huku Afrika.
Mengi yataandikwa sana baada ya kilichofanywa na Israel juzi.
Iran sasa imeshadhihirika haina chochote ni kubwa la kupigwa pigwa makonzi tu.
Kitambo tukiwa shule ya msingi Kuna mwanafunzi mrefu na mnene tulikua tunamwogopa, siku moja akaingia kwenye ugomvi na mwanafunzi mwingine mwenye umbo ndogo, tukajua hapa mauti yatatokea, aisei lile kubwa halikufanya chochote cha maana zaidi ya kurusha rusha ngumi bila mikakati, kuanzia hiyo siku hilo kubwa lilikua linachokozwa na yeyote na kudharauliwa, unalikanyaga mguu na kuliuliza vipi tuzipige? Unalishika kidevu na kufanya chochote ila linajinyamazia tu.
__________
Iranβs Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei on Saturday made his first public appearance since the 12-day war between Israel and Iran began last month, attending a mourning ceremony to mark the Shiite holy day of Ashura.
Khameneiβs absence during the war suggested that there was heavy security for the Iranian leader, who has the final say on all state matters.
State TV in Iran showed the 86-year-old leader waving and nodding to the chanting crowd, which rose to its feet as he entered and sat at a mosque next to his office and residence in the capital, Tehran.
Mbabe wa mazayuni huyuView attachment 3396092
Unazungumza ukiwa wapi bwashee yani mnaumbuka kila wakati hakuna kilicho sambaratishwaKupiga apartments hiyo ni gharama Israel ilikua tayari kulipa, ila mlifutwa na nyie na uongozi wote aisei hadi raha, vinu vya nyuklia vikasambaratishwa, yaani mapigo ya kiwaki waki...
nani ameshinda vita hii?
Unazungumza ukiwa wapi bwashee yani mnaumbuka kila wakati hakuna kilicho sambaratishwaView attachment 3396144
ππππ Mbona anaendelea alicho kipata Israel kakusimuliaNetanyahu alishasema mkionyesha dalili za kutaka kujenga upya atapiga, sasa hivi Iran ni kubwa la kupigwa pigwa makonzi...
Israel ni hatari sana, yaani wanasababisha mzee kama huyu na gauni lake ajifiche na kuishi kwenye shimo kama fukwe, tena ndani ya nchi yake, ukizingatia yeye ndiye kiongozi mkuu wa magaidi yote ya dini, anategemewa hadi huku Afrika.
Mengi yataandikwa sana baada ya kilichofanywa na Israel juzi.
Iran sasa imeshadhihirika haina chochote ni kubwa la kupigwa pigwa makonzi tu.
Kitambo tukiwa shule ya msingi Kuna mwanafunzi mrefu na mnene tulikua tunamwogopa, siku moja akaingia kwenye ugomvi na mwanafunzi mwingine mwenye umbo ndogo, tukajua hapa mauti yatatokea, aisei lile kubwa halikufanya chochote cha maana zaidi ya kurusha rusha ngumi bila mikakati, kuanzia hiyo siku hilo kubwa lilikua linachokozwa na yeyote na kudharauliwa, unalikanyaga mguu na kuliuliza vipi tuzipige? Unalishika kidevu na kufanya chochote ila linajinyamazia tu.
__________
Iranβs Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei on Saturday made his first public appearance since the 12-day war between Israel and Iran began last month, attending a mourning ceremony to mark the Shiite holy day of Ashura.
Khameneiβs absence during the war suggested that there was heavy security for the Iranian leader, who has the final say on all state matters.
State TV in Iran showed the 86-year-old leader waving and nodding to the chanting crowd, which rose to its feet as he entered and sat at a mosque next to his office and residence in the capital, Tehran.
ππππ Mbona anaendelea alicho kipata Israel kakusimuliaView attachment 3396148
Unazungumza ukiwa wapi bwashee yani mnaumbuka kila wakati hakuna kilicho sambaratishwaView attachment 3396144
Hahahah leo habari umeita mapicha kweli imeingiaHaya mapicha nina mengi nitatengeneza nikuletee, ambieni Iran ajaribu hata kujikuna...
Umesoma habari au umekurupuka nyie mlio sema vimesambaratishwa ndio muumbukaoSi tulisema vinu vyake haviguswa? Mbona tena tunabadilisha chorus?
Jengo hujengwa lkn sio askari aliyeuawaMbabe wa mazayuni huyuView attachment 3396092
Yani bado umerudi mulemule tu askri huletwa mwengine au hujui hili piaJengo hujengwa lkn sio askari aliyeuawa
Umesoma habari au umekurupuka nyie mlio sema vimesambaratishwa ndio muumbukao