Ayatollah hatimaye atoka kwenye shimo alikokuwa amejificha

Mbona kama umepaniki sisi wote tunafuata anachotuambia sheikh kitinku. Alisema tuseme havijaguswa. Sasa tena unakuja unabadilisha. Mnatuchanganya sana
Nani kapanik hapa kwa hiyo zile kauli zenu za vimesambaratishwa kumbe ni uongo ,😂😂😂
Screenshot_20250706-110125.png
 
Nani kapanik hapa kwa hiyo zile kauli zenu za vimesambaratishwa kumbe ni uongo ,😂😂😂View attachment 3396152

Unanichanganya sheikh wangu. Twende polepole. Hayatollah ameshatoka sasa shimoni. Je yupo sawa? Ametoa kauli kuhusiana na ndege za mayahudi kuingia na kutoka irani kama zipendavyo? Na kuuawa makamanda na wanasayansi ndani irani? Na vinu vya kinyuki kushambuliwa?
 
Israel ni hatari sana, yaani wanasababisha mzee kama huyu na gauni lake ajifiche na kuishi kwenye shimo kama fukwe, tena ndani ya nchi yake, ukizingatia yeye ndiye kiongozi mkuu wa magaidi yote ya dini, anategemewa hadi huku Afrika.

Mengi yataandikwa sana baada ya kilichofanywa na Israel juzi.
Iran sasa imeshadhihirika haina chochote ni kubwa la kupigwa pigwa makonzi tu.

Kitambo tukiwa shule ya msingi Kuna mwanafunzi mrefu na mnene tulikua tunamwogopa, siku moja akaingia kwenye ugomvi na mwanafunzi mwingine mwenye umbo ndogo, tukajua hapa mauti yatatokea, aisei lile kubwa halikufanya chochote cha maana zaidi ya kurusha rusha ngumi bila mikakati, kuanzia hiyo siku hilo kubwa lilikua linachokozwa na yeyote na kudharauliwa, unalikanyaga mguu na kuliuliza vipi tuzipige? Unalishika kidevu na kufanya chochote ila linajinyamazia tu.
__________

Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei on Saturday made his first public appearance since the 12-day war between Israel and Iran began last month, attending a mourning ceremony to mark the Shiite holy day of Ashura.

Khamenei’s absence during the war suggested that there was heavy security for the Iranian leader, who has the final say on all state matters.

State TV in Iran showed the 86-year-old leader waving and nodding to the chanting crowd, which rose to its feet as he entered and sat at a mosque next to his office and residence in the capital, Tehran.
Maneno mengii wewe unajua Natenyahu na familia yake walikuwa wanalala na kujicha wapi?? Muone alivyo zeeka ndani ya muda mfupi WA vita, je vita kama vinge endelea kwa miaka nane kama ilivyo kuwa vita kati ya Iran na Iraq,je, Natenyahu na Israel wangekuwa katika hali gani??
 
Unanichanganya sheikh wangu. Twende polepole. Hayatollah ameshatoka sasa shimoni. Je yupo sawa? Ametoa kauli kuhusiana na ndege za mayahudi kuingia na kutoka irani kama zipendavyo? Na kuuawa makamanda na wanasayansi ndani irani? Na vinu vya kinyuki kushambuliwa?
Screenshot_20250706-110125.png
 
Bila shaka Israel ilitumia hiyo fursa vizuri maana Iran ilikua imesalia wiki kadhaa kujihami na bomu la nyuklia, na hapo ingekua kiama kwa Israel.
Ikumbukwe hiyo haikua vita baina ya Iran na Israel, maana hakukua na declaration of war, Israel ilikua inapiga kimkakati maeneo yote ambayo yalikua hatari kwa vizazi vyake.
Sasa hivi Israel itakua salama kwa miaka mingi ijayo maana hata magaidi wa waislamu wamebaki mayatima, walikua wanategemea ubabe wa Iran, walidhani Iran ni taifa hatari sana kijeshi ila kwa namna ilivyotekwa anga yake yote, ilikua dhihirisho tosha hamna kitu pale.....
Hii ramani itafute Israel kisha utakua umepata jibu nani alikua mshindi kwenye huo ugomvi...

3t17h8fubqy61.jpg
Kwa mujibu ya waislamu wa humu saa hizi Israel ni zaidi ya Gaza yaani tel aviv imebaki vifusi mazayuni wanalala kwenye mahema kama wakimbizi.
Takbiiiiiiiir!
 
Trump asingetokeza kurusha kitambaa cheupe hadi leo tungekua tunazungumzia mengine hapa tushukuru jamaa walisitisha vita mapema vita ya siku kumi na mbili tu harafu wamebaki kuheshimiana mpaka vizazi vijavyo..
 
Nani kapanik hapa kwa hiyo zile kauli zenu za vimesambaratishwa kumbe ni uongo ,😂😂😂View attachment 3396152
Unaambiwa Iran kachakaza mazayuni ile mbaya,Mazayuni hayajapiga kokote Iran.Na mshindi wa vita hii ni Iran mazayuni yanadanganya kuingiza ndege Iran kumbe ni uongo ulinzi wa anga wa Iran ni mkali kweli kweli.Takbiiiiiiir!
 
Ukiwa chizi tu na akili zina hama
 
Trump asingetokeza kurusha kitambaa cheupe hadi leo tungekua tunazungumzia mengine hapa tushukuru jamaa walisitisha vita mapema vita ya siku kumi na mbili tu harafu wamebaki kuheshimiana mpaka vizazi vijavyo..
Mzayuni amepona kwa kudra za Ayatollah la sivyo Israel yote ingekuwa majivu.Hakuna cha kuheshimiana,Mazayuni ndo yanamuheshimu Iran baba la teknolojia ya kivita duniani.Takbiir
 
Hii ni record ya kipekee pamoja na taka taka zao zote za ulinzi kutoka kwa mashetani wenzao ila wamepigwa kipigo kitakatifu kutoka umbali mrefu na wameshindwa kuzuia, hiyo precision na ukizingatia umbali alipo iran ,lazima israel aogope, marekani alikuwa na kila sababu ya kuomba yaishe
Iran kashinda hii vita kwa kishindo.Yaani kawachakaza mazayuni pamoja na Mmarekani.Takbiir
 
Israel ni hatari sana, yaani wanasababisha mzee kama huyu na gauni lake ajifiche na kuishi kwenye shimo kama fukwe, tena ndani ya nchi yake, ukizingatia yeye ndiye kiongozi mkuu wa magaidi yote ya dini, anategemewa hadi huku Afrika.

Mengi yataandikwa sana baada ya kilichofanywa na Israel juzi.
Iran sasa imeshadhihirika haina chochote ni kubwa la kupigwa pigwa makonzi tu.

Kitambo tukiwa shule ya msingi Kuna mwanafunzi mrefu na mnene tulikua tunamwogopa, siku moja akaingia kwenye ugomvi na mwanafunzi mwingine mwenye umbo ndogo, tukajua hapa mauti yatatokea, aisei lile kubwa halikufanya chochote cha maana zaidi ya kurusha rusha ngumi bila mikakati, kuanzia hiyo siku hilo kubwa lilikua linachokozwa na yeyote na kudharauliwa, unalikanyaga mguu na kuliuliza vipi tuzipige? Unalishika kidevu na kufanya chochote ila linajinyamazia tu.
__________

Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei on Saturday made his first public appearance since the 12-day war between Israel and Iran began last month, attending a mourning ceremony to mark the Shiite holy day of Ashura.

Khamenei’s absence during the war suggested that there was heavy security for the Iranian leader, who has the final say on all state matters.

State TV in Iran showed the 86-year-old leader waving and nodding to the chanting crowd, which rose to its feet as he entered and sat at a mosque next to his office and residence in the capital, Tehran.
 
Attachments

  • 4c973c4bd9c6022mcwt_800C450.jpg
    4c973c4bd9c6022mcwt_800C450.jpg
    107.2 KB · Views: 13
  • 1750980663694.png
    1750980663694.png
    244.3 KB · Views: 11
  • Screenshot_20250619_072309_Instagram.jpg
    Screenshot_20250619_072309_Instagram.jpg
    601.4 KB · Views: 14
  • GtoOS08W0AAylFS.jpeg
    GtoOS08W0AAylFS.jpeg
    113.9 KB · Views: 9
  • 1000181092.jpg
    1000181092.jpg
    346.3 KB · Views: 11
Back
Top Bottom