Ayatollah hatimaye atoka kwenye shimo alikokuwa amejificha

Kupiga apartments hiyo ni gharama Israel ilikua tayari kulipa, ila mlifutwa na nyie na uongozi wote aisei hadi raha, vinu vya nyuklia vikasambaratishwa, yaani mapigo ya kiwaki waki...
Maneno yanini Wachungaji mwaka huu mtatafuta chengine kudanganya waumini wenu !!!

Dunia limekuwa kijiji

Ata kondooo wenu Picha wameona kazi mnayo wanawazoom tu.. Acha maneno weka Mziki !!

Ayatollah ndio mwiba mgumu kwa Mashoga wote..

Tramp mwenyewe kachutama kwa Ayatollah..
 

Attachments

  • 20250615_031912.jpg
    107.1 KB · Views: 17
  • 9ff5ddcd-dcc2-4e8d-9d9a-6b8fe7c03cc1.jpeg
    159.8 KB · Views: 15
  • 4c9660f161808b2mbck_800C450.jpg
    109.1 KB · Views: 20
  • 6097385-beb14bf5b206583f052f4fddb1ea8363.mp4
    3.9 MB
  • 20250614_000352.jpg
    79.7 KB · Views: 13
  • 20250614_080711.jpeg
    85.5 KB · Views: 18
  • 1000181092.jpg
    346.3 KB · Views: 22

NNetanyahu siku zote tunamuona, ila hilo lizee la dini lilikua shomoni kama panya, na hata sasa bado halipo huru kihivyo.
 
Hata huyo 254 angejichimbia kwenye handaki kama Natenyahu ebu angalia last but one photo above.

Ukweli ni kwamba Makobora ya Iran kitu ingine kabisa, mashuhuda wanasema hata lisipo kufikia na kukulipukia lakini shock wave tu peke yake onakuacha viungo vyote mwilini nyanga nyanga!!
 
Ninani ajazika kati ya israel na Iran????
Haiwezekani itokee vita watu wasife. Issue wameuawa watu gani? Hata mwendawazimu anaweza rusha makombola kuua watu iran au israel. Ila ni mtu mwenye akili ataua na kupiga mabomu kwa akili na sehemu mahsusi
 
Wamfanye wawezalo ila Ayatolah wasimuue. Namkubali sana Ayatolah kwa kile alichokifanya kuijenga Iran. Ni muarabu/muajemi mwenye akili binafsi namkubali. Ana uthubutu, napenda watu wa aina yake.
 
Kupiga apartments hiyo ni gharama Israel ilikua tayari kulipa, ila mlifutwa na nyie na uongozi wote aisei hadi raha, vinu vya nyuklia vikasambaratishwa, yaani mapigo ya kiwaki waki...
Duuuh huyu mfalisayo wa boyoka anashabikia vitu hajui
 
Huyo babu waendelee kumuandama mpaka aache kufadhili ugaidi duniani
 
Kazikeni kwanza mkuu
Ayatollah walau ameliona Jua sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…