Ayatollah kachomoa kwenda kumzika gaidi mwenzake Hassan Nasrallah atuma tu mwakilishi

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
875
Reaction score
633
Watu wengi sana leo waliamini Ayatollah Sayyed Ali Khamanei atahudhuria mazishi ya rafiki yake kipenzi Gaidi Hassan Nasrallah lakini kachomoa dakika za mwishoni na kutumia wawakili ambao ni

1. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Araqchi.
2. Spika wa Bunge la Iran Qalibaf.
3. Naibu Kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi Ali Fadawi.
4. Kamanda mwandamizi wa Kikosi cha Quds cha Iran katika Masjidi ya Walinzi wa Mapinduzi.
5. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Karibabadi.
Hapo pichani w anaonekana wakipokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Beirut,Lebanon. Nawaomba IAF wafanye jambo wakati wanaondoka huko Lebanon kama walivyofanya kwa Yule Rais wa Isran marehem rais!!

Mzee ana miaka 85 kwasasa unataka aangaike na safari za nini?
 
Kichekesho hadi mrithi mpya wa Nasrallah kachomoa ku attend mazishi hahahaha nae kaanza kuishi shimoni..
 
Mossad jeuri, na sasa pale White house yupo kichaa Trump swahiba mkubwa wa Netanyahu ukijichanganya tu unaliwa kichwa.
Trump very carefully sio kama Biden na pia wakati mwingine hatabiriki na alishasoma lesson zake kutokea kwenye yale maamuzi ya assasination ya Suleiman na ile pay back ya wairan kwao maana baada ya tukio akina Netanyahu wakajiweka pembeni akaona kaaachiwa msala peke yake kwa sasa haiingii kichwa kichwa kama mwanzo.
 
Watu wengi sana leo waliamini Ayatollah Sayyed Ali Khamanei atahudhuria mazishi ya rafiki yake kipenzi Gaidi Hassan Nasrallah lakini kachomoa dakika za mwishoni na kutumia wawakili ambao ni

1. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Araqchi.
2. Spika wa Bunge la Iran Qalibaf.
3. Naibu Kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi Ali Fadawi.
4. Kamanda mwandamizi wa Kikosi cha Quds cha Iran katika Masjidi ya Walinzi wa Mapinduzi.
5. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Karibabadi.
Hapo pichani w anaonekana wakipokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Beirut,Lebanon. Nawaomba IAF wafanye jambo wakati wanaondoka huko Lebanon kama walivyofanya kwa Yule Rais wa Isran marehem rais!!
We nae toka lini Ayatollah alisafiri sio msibani hata tu kwenda kwenye shughuli yeyote .
 
Mzee ana miaka 85 kwasasa unataka aangaike na safari za nini?
Huyo kachomoa kaogopa yaliyompata aliyekuwa Rais wa Iran raisi aliyeanguka na hellcopter. Leo wewe miaka 85 unatumia kuwa kigezo kwani anatembelea!?
 
Watu wengi sana leo waliamini Ayatollah Sayyed Ali Khamanei atahudhuria mazishi ya rafiki yake kipenzi Gaidi Hassan Nasrallah lakini kachomoa dakika za mwishoni na kutumia wawakili ambao ni

1. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Araqchi.
2. Spika wa Bunge la Iran Qalibaf.
3. Naibu Kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi Ali Fadawi.
4. Kamanda mwandamizi wa Kikosi cha Quds cha Iran katika Masjidi ya Walinzi wa Mapinduzi.
5. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Karibabadi.
Hapo pichani w anaonekana wakipokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Beirut,Lebanon. Nawaomba IAF wafanye jambo wakati wanaondoka huko Lebanon kama walivyofanya kwa Yule Rais wa Isran marehem rais!!
Sifa za mtu kuitwa Gaidi unazijua unitajie?
 
Huyo kachomoa kaogopa yaliyompata aliyekuwa Rais wa Iran raisi aliyeanguka na hellcopter. Leo wewe miaka 85 unatumia kuwa kigezo kwani anatembelea!?
Miaka 85 sio miaka ya kuangaika nchi za watu kama mtu wa miaka 60, umeona PAPA miaka 88 hali ni mbaya sasa hivi
 
Back
Top Bottom