Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Mbona anahangaika kufadhili ugaidi?!Mzee ana miaka 85 kwasasa unataka aangaike na safari za nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona anahangaika kufadhili ugaidi?!Mzee ana miaka 85 kwasasa unataka aangaike na safari za nini?
Nasrallah, Sinwar, Deif, Osama wote hao sifa zao zinafanana. Ni viongozi wa makundi ya kigaidi dunianiSifa za mtu kuitwa Gaidi unazijua unitajie?
Nimeuliza tabia/sifa za magaidi sio majina ya watu unawaita magaidi.Nasrallah, Sinwar, Deif, Osama wote hao sifa zao zinafanana. Ni viongozi wa makundi ya kigaidi duniani
Analinda nchi yake , ugaidi ni tafsiri ya kihuni kama udiktetaMbona anahangaika kufadhili ugaidi?!
Uzee sio ujana , uzee ni rafiki wa magonjwaKwa hiyo PAPA alikuwa hatembei?
Alishastukia mchezo IAF kuruka kwa mbwembwe anga la Beirut kama walivyofanya wakati yeye (Ayatollah) kainama akimswalia Nasrallah ingekuwa fedheha.Angeliwa kichwa, makobaz wanasemaje.
Ni mtu mjinga tu anayeamini dunia haipo salama kwa sababu ya Ayatolah.Dunia itakuwa sehemu salama Ayatolah akiliwa kichwa.