Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 9,968 Reaction score 16,680 Feb 24, 2025 #21 ielewemitaa said: Mzee ana miaka 85 kwasasa unataka aangaike na safari za nini? Click to expand... Mbona anahangaika kufadhili ugaidi?!
ielewemitaa said: Mzee ana miaka 85 kwasasa unataka aangaike na safari za nini? Click to expand... Mbona anahangaika kufadhili ugaidi?!
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 9,968 Reaction score 16,680 Feb 24, 2025 #22 Mpinzire said: Sifa za mtu kuitwa Gaidi unazijua unitajie? Click to expand... Nasrallah, Sinwar, Deif, Osama wote hao sifa zao zinafanana. Ni viongozi wa makundi ya kigaidi duniani
Mpinzire said: Sifa za mtu kuitwa Gaidi unazijua unitajie? Click to expand... Nasrallah, Sinwar, Deif, Osama wote hao sifa zao zinafanana. Ni viongozi wa makundi ya kigaidi duniani
Mpinzire JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 7,503 Reaction score 13,463 Feb 24, 2025 #23 Mzee Kigogo said: Nasrallah, Sinwar, Deif, Osama wote hao sifa zao zinafanana. Ni viongozi wa makundi ya kigaidi duniani Click to expand... Nimeuliza tabia/sifa za magaidi sio majina ya watu unawaita magaidi.
Mzee Kigogo said: Nasrallah, Sinwar, Deif, Osama wote hao sifa zao zinafanana. Ni viongozi wa makundi ya kigaidi duniani Click to expand... Nimeuliza tabia/sifa za magaidi sio majina ya watu unawaita magaidi.
ielewemitaa JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 10,764 Reaction score 9,477 Feb 24, 2025 #24 Mzee Kigogo said: Mbona anahangaika kufadhili ugaidi?! Click to expand... Analinda nchi yake , ugaidi ni tafsiri ya kihuni kama udikteta
Mzee Kigogo said: Mbona anahangaika kufadhili ugaidi?! Click to expand... Analinda nchi yake , ugaidi ni tafsiri ya kihuni kama udikteta
ielewemitaa JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 10,764 Reaction score 9,477 Feb 24, 2025 #25 Echolima1 said: Kwa hiyo PAPA alikuwa hatembei? Click to expand... Uzee sio ujana , uzee ni rafiki wa magonjwa
Echolima1 said: Kwa hiyo PAPA alikuwa hatembei? Click to expand... Uzee sio ujana , uzee ni rafiki wa magonjwa
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Feb 24, 2025 #26 MK254 said: Angeliwa kichwa, makobaz wanasemaje. Click to expand... Alishastukia mchezo IAF kuruka kwa mbwembwe anga la Beirut kama walivyofanya wakati yeye (Ayatollah) kainama akimswalia Nasrallah ingekuwa fedheha.
MK254 said: Angeliwa kichwa, makobaz wanasemaje. Click to expand... Alishastukia mchezo IAF kuruka kwa mbwembwe anga la Beirut kama walivyofanya wakati yeye (Ayatollah) kainama akimswalia Nasrallah ingekuwa fedheha.
passioner255 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 6,192 Reaction score 11,897 Feb 24, 2025 #27 imhotep said: Dunia itakuwa sehemu salama Ayatolah akiliwa kichwa. Click to expand... Ni mtu mjinga tu anayeamini dunia haipo salama kwa sababu ya Ayatolah.
imhotep said: Dunia itakuwa sehemu salama Ayatolah akiliwa kichwa. Click to expand... Ni mtu mjinga tu anayeamini dunia haipo salama kwa sababu ya Ayatolah.