Huyo hataonja hata barzaq!; moja Kwa moja sardaus!
Na chakula Cha kwanza sardaus ni maini ya samaki!
👇👇
ما أول طعام في حديث الجنة؟
'. أجاب النبي صلى الله عليه وسلم: "أول طعام يأكله أهل الجنة فضل كبد الحوت". 'يوضح العلامة النووي رحمه الله أن فضل الكبد ألذ/أطيب. والله تعالى أعلم
.Nini 'awal taeam fi hadith aljanati?
'. 'ajab alnabiu salaa allah ealayh wasalama: "'awal taeam yakuluh 'ahl aljanat fadl kabid alhuti'." 'yuadih alealamat alnawawia rahimah allah 'ana fadl alkabid 'aladh/'atib. wallah taaalaa 'alama.
IslamQA - Search for Islamic Q&A from four Madhhabs > hadithanswers
'Awal taeam yakuluh 'ahl aljanat - IslamQA
'. Mtume, swallallahu alayhi wa sallam, akajibu: “Chakula cha kwanza watakachokula watu wa Peponi ni maini ya nyangumi.
IslamQA - Search for Islamic Q&A from four Madhhabs › majibu ya hadithi
Baada ya Hapo atapewa mbuguma.70 na
مَّثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ ۖ فِيهَا أَنْهَارٌ مِّن مَّاءٍ غَيْرِ آسِنٍ وَأَنْهَارٌ مِّن لَّبَنٍ لَّمْ يَتَغَيَّرْ طَعْمُهُ وَأَنْهَارٌ مِّنْ خَمْرٍ لَّذَّةٍ لِّلشَّارِبِينَ وَأَنْهَارٌ مِّنْ عَسَلٍ مُّصَفًّى ۖ وَلَهُمْ فِيهَا مِن كُلِّ الثَّمَرَاتِ وَمَغْفِرَةٌ مِّن رَّبِّهِمْ ۖ كَمَنْ هُوَ خَالِدٌ فِي النَّارِ وَسُقُوا مَاءً حَمِيمًا فَقَطَّعَ أَمْعَاءَهُمْ
[ MUH'AMMAD - 15 ]
Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya ulevi kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?..........