Ayatollah Khamenei aongoza sala mbele ya jeneza la Ismael Haniyeh aliyeuawa na Israel

Hivi Sardaus na Firdaus wapi pazuri mgen
 
Mtume wetu Muhammad (S.A.W) hakusema hivyo. Acha Ukafiri
 
Ngano za kale tamu sana, mito ya asali na maziwa utakubali tuu
 
Mtume wetu Muhammad (S.A.W) hakusema hivyo. Acha Ukafiri
Dunia inatushangaa, jitu jeusi tii limezaliwa Makambako kutwa kucha kusifia mababu wa wazungu na waarabu eti mtume wetu!!!! Amka wewe, achana na huo utumwa wa kidini, tumia muda wako kuwaombea mababu zako.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Maelfu wamejitokeza kuhudhuria mazishi ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas, Ismail Haniyeh, nchini Iran ambaye aliuawa katika shambulizi mjini Tehran siku ya Jumatano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…