Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,103
Steph is just an expert in 3 pts...
Hakuna kitu kingine anaweza sana kuzidi wengine zaidi ya hiyo...
That being said, huwezi fananisha Steph na MJ, unless you didn't watch MJ playin in his prime time...MJ was just MJ....

Tofauti ya Curry na MJ ni kuwa Curry can't dunk consistently kama other NBA players kutokana na kimo chake 6'3 ambacho ni ngumu kudunk among players wenye 6'5 na kuendelea lazima watablock tu .[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1417]Very well said Mkuu Curry is a very good player but he is not in the same class with MJ.
Tofauti ya Curry na MJ ni kuwa Curry can't dunk consistently kama other NBA players kutokana na kimo chake 6'3 ambacho ni ngumu kudunk among players wenye 6'5 na kuendelea lazima watablock tu .
Ila Jamaa na basketball Skills za ajabu na very team work skills and his shooting prowess
Pele ni mfalme wa soka wa zamani ila sasa Tuna Messi .
Unamkosea heshima MJJamaa anauchezea mpira kama Tonge la ugali ..... hivi haujawahi kuziona skills zake
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽Very well said Mkuu Curry is a very good player but he is not in the same class with MJ.
KD anajua aseKuna kipindi cha 2015/16 wakati wanavunja record ya Bulls kwa 72/10 Curry aliingizwa kwenye debate ya top 5 best player to ever play.
Baada ya KD kujoin sisikii tena hizo kelele. Hata kwenye best 10 hazungumziwi.
Hata King James au KD hajawafikia.
Tofauti ya Curry na MJ ni kuwa Curry can't dunk consistently kama other NBA players kutokana na kimo chake 6'3 ambacho ni ngumu kudunk among players wenye 6'5 na kuendelea lazima watablock tu .
Ila Jamaa na basketball Skills za ajabu na very team work skills and his shooting prowess
Pele ni mfalme wa soka wa zamani ila sasa Tuna Messi .
Great " Analysis ...watu wanaficha kuongea ukweli tu ..curry ni mtu hatari sana " yaani kwanza hata uchezaji wake unavutia machoni ana kasi na skills za hatari sana " kama hajawekwa kwenye list ya manguli wa huo mchezo basi itakuwa anafanyiwa figisu tu ..ni sawa na jinsi tunavyoona hary kane akipewa heshima ndogo epl wakati uwezo alionao kama striker ni mkubwa mnoTofauti ya Curry na MJ ni kuwa Curry can't dunk consistently kama other NBA players kutokana na kimo chake 6'3 ambacho ni ngumu kudunk among players wenye 6'5 na kuendelea lazima watablock tu .
Ila Jamaa na basketball Skills za ajabu na very team work skills and his shooting prowess
Pele ni mfalme wa soka wa zamani ila sasa Tuna Messi .
Honestly kwa zile skills za curry nazo ziona " na zile za mj ambazo nimeziona nachelea kusema curry ni bora kuliko mj .Mj yuko overrated tu dhidi ya curry ...jamaa ana cheza mpira huku team nzima ikiwa imeweka matumaini kwake ..anafunga magoli ya aina yote ..sehemu anayo funga au kutoa pasi hauwezi kutarajia ...licha ya kuwa na mwili mdogo anawapiga chenga mijitu yenye miili mikubwa kama vile watoto wadogo ...mj alicho mzidi Curry ni ku-dunk tu nothing else ..na hiyo ina sababishwa na urefu wa kimo chake[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1417]Very well said Mkuu Curry is a very good player but he is not in the same class with MJ.
Sio kweli " --jamaa anajua sana ..acheni maisha ya kukarili ..kwenye ukweli tuwage wawazi tuUnamkosea heshima MJ
Honestly kwa zile skills za curry nazo ziona " na zile za mj ambazo nimeziona nachelea kusema curry ni bora kuliko mj .Mj yuko overrated tu dhidi ya curry ...jamaa ana cheza mpira huku team nzima ikiwa imeweka matumaini kwake ..anafunga magoli ya aina yote ..sehemu anayo funga au kutoa pasi hauwezi kutarajia ...licha ya kuwa na mwili mdogo anawapiga chenga mijitu yenye miili mikubwa kama vile watoto wadogo ...mj alicho mzidi Curry ni ku-dunk tu nothing else ..na hiyo ina sababishwa na urefu wa kimo chake
Hahaa hapana aise ..Again let me repeat one more time Mkuu. Curry is not in the same class as MJ and that’s why even today a huge percentage of Basketball [emoji459] players, analysts and fans will pick MJ as the best player ever. Curry is not even among the top ten basketball players in NBA.
Honestly kwa zile skills za curry nazo ziona " na zile za mj ambazo nimeziona nachelea kusema curry ni bora kuliko mj .Mj yuko overrated tu dhidi ya curry ...jamaa ana cheza mpira huku team nzima ikiwa imeweka matumaini kwake ..anafunga magoli ya aina yote ..sehemu anayo funga au kutoa pasi hauwezi kutarajia ...licha ya kuwa na mwili mdogo anawapiga chenga mijitu yenye miili mikubwa kama vile watoto wadogo ...mj alicho mzidi Curry ni ku-dunk tu nothing else ..na hiyo ina sababishwa na urefu wa kimo chake
Hapana mkuu, Sema Curry kama ataendelea kuwa kwenye peak kwa misimu kadhaa ijayo ndio anaweza kuwa na hizo sifa.Hapana nime mtizama curry nime mtizama Jordan nathubutu kusema hivi jordan anajua sana lakini kwa curry hapana aise...jamaa anatisha ni hatari sana kuliko hata VVU ni kama mzimu..jamaa the way anavyopiga chenga na magoli anayoshinda Ooh my gosh ni habari nyingine ile