Ayesha Curry: Kwanini sitongozwi?

Ayesha Curry: Kwanini sitongozwi?

Steph is just an expert in 3 pts...

Hakuna kitu kingine anaweza sana kuzidi wengine zaidi ya hiyo...

That being said, huwezi fananisha Steph na MJ, unless you didn't watch MJ playin in his prime time...MJ was just MJ....

Hata King James au KD hajawafikia.
 
Mtoa mada mbona kama umemwekea maneno Mdomoni Mrs. Curry, alichokisema ni kwamba wakiwa pamoja na mumewe huwa wadada wanamshobokea mume wake Ila yeye wanaume huwa hawamshobokei.
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽Very well said Mkuu Curry is a very good player but he is not in the same class with MJ.

Steph is just an expert in 3 pts...

Hakuna kitu kingine anaweza sana kuzidi wengine zaidi ya hiyo...

That being said, huwezi fananisha Steph na MJ, unless you didn't watch MJ playin in his prime time...MJ was just MJ....
 
Mmmmh! Huyo mwanamke ana matatizo ya kutofikishwa kileleni.... . wanaume fanyeni kazi
 
[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1417]Very well said Mkuu Curry is a very good player but he is not in the same class with MJ.
Tofauti ya Curry na MJ ni kuwa Curry can't dunk consistently kama other NBA players kutokana na kimo chake 6'3 ambacho ni ngumu kudunk among players wenye 6'5 na kuendelea lazima watablock tu .

Ila Jamaa na basketball Skills za ajabu na very team work skills and his shooting prowess

Pele ni mfalme wa soka wa zamani ila sasa Tuna Messi .
 
Huyu Curry style ya uchezaji enzi za Michael wala asingefurukuta ilikuwa ni utemi utemi siyo nyoro nyoro kama ilivyo sasa ukimgusa mtu tu hata na jezi unapigiwa firimbi.

Tofauti ya Curry na MJ ni kuwa Curry can't dunk consistently kama other NBA players kutokana na kimo chake 6'3 ambacho ni ngumu kudunk among players wenye 6'5 na kuendelea lazima watablock tu .

Ila Jamaa na basketball Skills za ajabu na very team work skills and his shooting prowess

Pele ni mfalme wa soka wa zamani ila sasa Tuna Messi .
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽Very well said Mkuu Curry is a very good player but he is not in the same class with MJ.

Kuna kipindi cha 2015/16 wakati wanavunja record ya Bulls kwa 72/10 Curry aliingizwa kwenye debate ya top 5 best player to ever play.

Baada ya KD kujoin sisikii tena hizo kelele. Hata kwenye best 10 hazungumziwi.
 
KD anajua ase
 
Hahah...

Curry ana dunk like any other NBA player ni vile tu hayupo aggressive in doing that tokea akiwa college...he has trained himself to follow his dad's footsteps za kuwa 3pts baller mzuri na amekuwa hivyo...

Unajua Donovan Mitchel, Russell Westbrook wote wapo height(6'3) moja na Curry na wana dunk muda wote na ni play makers pia...or DWayde au John Wall (6'4) wamemzidi Curry just by an inch lakini wana dunk muda wote...

Hata tukija kwenye ball handling, bado kuna wanaomzidi Curry mfano Kyrie Irving...

Statistics nyingine za mtu wa kimo chake kama double-doubles hayupo, mid range 2-points hayupo...

Tofauti ya Curry na MJ ni kuwa Curry can't dunk consistently kama other NBA players kutokana na kimo chake 6'3 ambacho ni ngumu kudunk among players wenye 6'5 na kuendelea lazima watablock tu .

Ila Jamaa na basketball Skills za ajabu na very team work skills and his shooting prowess

Pele ni mfalme wa soka wa zamani ila sasa Tuna Messi .
 
Tofauti ya Curry na MJ ni kuwa Curry can't dunk consistently kama other NBA players kutokana na kimo chake 6'3 ambacho ni ngumu kudunk among players wenye 6'5 na kuendelea lazima watablock tu .

Ila Jamaa na basketball Skills za ajabu na very team work skills and his shooting prowess

Pele ni mfalme wa soka wa zamani ila sasa Tuna Messi .
Great " Analysis ...watu wanaficha kuongea ukweli tu ..curry ni mtu hatari sana " yaani kwanza hata uchezaji wake unavutia machoni ana kasi na skills za hatari sana " kama hajawekwa kwenye list ya manguli wa huo mchezo basi itakuwa anafanyiwa figisu tu ..ni sawa na jinsi tunavyoona hary kane akipewa heshima ndogo epl wakati uwezo alionao kama striker ni mkubwa mno
 
[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1417]Very well said Mkuu Curry is a very good player but he is not in the same class with MJ.
Honestly kwa zile skills za curry nazo ziona " na zile za mj ambazo nimeziona nachelea kusema curry ni bora kuliko mj .Mj yuko overrated tu dhidi ya curry ...jamaa ana cheza mpira huku team nzima ikiwa imeweka matumaini kwake ..anafunga magoli ya aina yote ..sehemu anayo funga au kutoa pasi hauwezi kutarajia ...licha ya kuwa na mwili mdogo anawapiga chenga mijitu yenye miili mikubwa kama vile watoto wadogo ...mj alicho mzidi Curry ni ku-dunk tu nothing else ..na hiyo ina sababishwa na urefu wa kimo chake
 
Wasipoolewa wanalialia wakiolewa wanataka tena njeee duuu sasa bora aaachike wamuwekeee foleni
 
Again let me repeat one more time Mkuu. Curry is not in the same class as MJ and that’s why even today a huge percentage of Basketball 🏀 players, analysts and fans will pick MJ as the best player ever. Curry is not even among the top ten basketball players in NBA.

Honestly kwa zile skills za curry nazo ziona " na zile za mj ambazo nimeziona nachelea kusema curry ni bora kuliko mj .Mj yuko overrated tu dhidi ya curry ...jamaa ana cheza mpira huku team nzima ikiwa imeweka matumaini kwake ..anafunga magoli ya aina yote ..sehemu anayo funga au kutoa pasi hauwezi kutarajia ...licha ya kuwa na mwili mdogo anawapiga chenga mijitu yenye miili mikubwa kama vile watoto wadogo ...mj alicho mzidi Curry ni ku-dunk tu nothing else ..na hiyo ina sababishwa na urefu wa kimo chake
 
Again let me repeat one more time Mkuu. Curry is not in the same class as MJ and that’s why even today a huge percentage of Basketball [emoji459] players, analysts and fans will pick MJ as the best player ever. Curry is not even among the top ten basketball players in NBA.
Hahaa hapana aise ..
 
Honestly kwa zile skills za curry nazo ziona " na zile za mj ambazo nimeziona nachelea kusema curry ni bora kuliko mj .Mj yuko overrated tu dhidi ya curry ...jamaa ana cheza mpira huku team nzima ikiwa imeweka matumaini kwake ..anafunga magoli ya aina yote ..sehemu anayo funga au kutoa pasi hauwezi kutarajia ...licha ya kuwa na mwili mdogo anawapiga chenga mijitu yenye miili mikubwa kama vile watoto wadogo ...mj alicho mzidi Curry ni ku-dunk tu nothing else ..na hiyo ina sababishwa na urefu wa kimo chake
 
Hapana nime mtizama curry nime mtizama Jordan nathubutu kusema hivi jordan anajua sana lakini kwa curry hapana aise...jamaa anatisha ni hatari sana kuliko hata VVU ni kama mzimu..jamaa the way anavyopiga chenga na magoli anayoshinda Ooh my gosh ni habari nyingine ile
Hapana mkuu, Sema Curry kama ataendelea kuwa kwenye peak kwa misimu kadhaa ijayo ndio anaweza kuwa na hizo sifa.
Mj amekuwa MVP mara karibu mara 6, Curry ni mara 2 kaa sikosei. Mj anatuzo ya defensive player, Curry hana. Sasa ukiona mtu anayefunga na kudefence maana yake anaibeba timu sana tofauti na Curry yeye si mzuri katika defence japo kwa three points scoring kamzidi MJ.
 
Back
Top Bottom