Ayesha Curry: Kwanini sitongozwi?

Naulimwengu huu wa technology " unadhani kuwa hilo naweza kulifanya .... jana tu nimetoka kukesha YouTube..macho yangu yaka nidhihirishia kuwa curry ni shida nyingine

Safi sana, nakuongezea majina machache ya kwenda kuangalia YouTube kuhusu skills:-

Kyrie Irving, Allen Iverson, Jamal Crawford na Jason Williams.

Curry ni best 3 pointers shooter to ever happen in a game.
 
Leo nimeona mtu anafanana na wewe sanaaaaa
 
Kama inshu ni takwimu ndio zinamuweka mtu juu ya wenzake,basi tusimlaumu Westbrook kwa anachokifanya.
Sipendi kukariri,skills za curry zinamfanya kuwa among the best,lakini kama ni points,rebounds na dunks mpeni mwingine maujiko
 
Maujiko yanakuja tu siyo kwa kulazimisha, watu wata acknowledge kama umewagusa.

RW bado hajagusa watu, na hatawagusa.
 
Mtoa mada mbona kama umemwekea maneno Mdomoni Mrs. Curry, alichokisema ni kwamba wakiwa pamoja na mumewe huwa wadada wanamshobokea mume wake Ila yeye wanaume huwa hawamshobokei.
Kwani ukiacha u-star wa mumewe yeye binafsi nini kinamtambulisha kwenye jamii?
 
Maujiko yanakuja tu siyo kwa kulazimisha, watu wata acknowledge kama umewagusa.

RW bado hajagusa watu, na hatawagusa.
Semea nafsi yako,watu wengi sana wanamfahamu curry kuliko lebron wako.
Curry ni mchezaji wa timu kama rooney,wala hatafuti ujiko bali unajileta wenyewe.
 
Semea nafsi yako,watu wengi sana wanamfahamu curry kuliko lebron wako.
Curry ni mchezaji wa timu kama rooney,wala hatafuti ujiko bali unajileta wenyewe.

Nadhani umeingizia ushabiki kusema LeBron wangu.

Fanya rewind ya All Stars Voting, uniambie ulinganifu ukoje kati ya hawa watu kwa misimu mitano iliyopita ambayo Curry yuko peak.
 
Ahaa kumbe nae ni star, ni haki adai kushobokewa

Siyo star bado, anasafiria nyota ya mume wake. Na ana force recognition ili kuongeza viewers kwenye kazi zake, ndiyo maana ya kuja na hizo controversial comments.

So far amewin, maana amekuwa kwenye mjadala sana mpaka JF imetufikia.
 
Simamia mtindo wanaocheza nowdays

Kufananisha viwango vyao sidhani kama italeta usawa

Makocha wa ss wana mbinu tofauti na mtindo tofauti

Siku za nyuma Carter alikua ana dunk na kuning'inia ila ss anasema game iko kasi

MJ anaweza kufanya yoote anayofanya Curry ila Curry hataweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…