ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,120
- 5,352
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama kwenye Uzi huu mjadala umehamia kwa mumewe huyo mdada nyota yake kiza kimetanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama kwenye Uzi huu mjadala umehamia kwa mumewe huyo mdada nyota yake kiza kimetanda
Naulimwengu huu wa technology " unadhani kuwa hilo naweza kulifanya .... jana tu nimetoka kukesha YouTube..macho yangu yaka nidhihirishia kuwa curry ni shida nyingine
Kimbeeeee ndo maana [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Safi sana, nakuongezea majina machache ya kwenda kuangalia YouTube kuhusu skills:-
Kyrie Irving, Allen Iverson, Jamal Crawford na Jason Williams.
Curry ni best 3 pointers shooter to ever happen in a game.
Leo nimeona mtu anafanana na wewe sanaaaaa
ItakuwaHahaha, atakuwa pacha wangu labda.
Leo ndio nimeamini duniani wawili wawiliLeo sijatoka ndani kabisa, ndiyo maana.
Uko powa lakini?
Leo ndio nimeamini duniani wawili wawili
Fresh kabisa..hope iko same kwako
Kama inshu ni takwimu ndio zinamuweka mtu juu ya wenzake,basi tusimlaumu Westbrook kwa anachokifanya.
Sipendi kukariri,skills za curry zinamfanya kuwa among the best,lakini kama ni points,rebounds na dunks mpeni mwingine maujiko
Kwani ukiacha u-star wa mumewe yeye binafsi nini kinamtambulisha kwenye jamii?Mtoa mada mbona kama umemwekea maneno Mdomoni Mrs. Curry, alichokisema ni kwamba wakiwa pamoja na mumewe huwa wadada wanamshobokea mume wake Ila yeye wanaume huwa hawamshobokei.
Semea nafsi yako,watu wengi sana wanamfahamu curry kuliko lebron wako.Maujiko yanakuja tu siyo kwa kulazimisha, watu wata acknowledge kama umewagusa.
RW bado hajagusa watu, na hatawagusa.
Kwani ukiacha u-star wa mumewe yeye binafsi nini kinamtambulisha kwenye jamii?
Semea nafsi yako,watu wengi sana wanamfahamu curry kuliko lebron wako.
Curry ni mchezaji wa timu kama rooney,wala hatafuti ujiko bali unajileta wenyewe.
Ahaa kumbe nae ni star, ni haki adai kushobokewaSwali zuri, wengi tumemjua kupitia kwa mume wake.
Ila wikipedia wana data zake:-
View attachment 1095007
Ahaa kumbe nae ni star, ni haki adai kushobokewa
Nimemuona Mj " curry yuko mbali zaidi kiuwezo kuliko Mj " mara nyingi katika maisha watu wa zamani ndio huwa tulivyo huwaga tunapenda Sana kuamini kwamba " vilivyopo katika wakati wetu ndio vilikuwa bora kuliko wakati uliopo au ujao ...kitu ambacho sio kweli ....
Curry ana sifa zote ana kasi ya ajabu.anapiga chenga ambazo hauwezi kuziona kwa mtu yeyote.. anafunga magoli katika nyakati zote tena haswaa katika nyakati ngumu ..sehemu ambayo mchezaji mwingine hawezi kushinda curry anashinda ' ijapo kuwa ana kimo cha wastani lakini anafanya vitu vikubwa ambavyo vimewazidi mijitu ya miraba minne .... bado nasimamia maneno yangu hakuna kama curry