Kwao huko lazima atakuwa star labda huku ndio hatumjui. Ni kama vile Wema Sepenga huku kwetu star ila hapo Malawi tu watu hawamjuiSiyo star bado, anasafiria nyota ya mume wake. Na ana force recognition ili kuongeza viewers kwenye kazi zake, ndiyo maana ya kuja na hizo controversial comments.
So far amewin, maana amekuwa kwenye mjadala sana mpaka JF imetufikia.
Ila jana ameonyesha uwezo wa kiwango chake,tusubiri next p off tuone ikiwa KD yupo njeKuna kipindi cha 2015/16 wakati wanavunja record ya Bulls kwa 72/10 Curry aliingizwa kwenye debate ya top 5 best player to ever play.
Baada ya KD kujoin sisikii tena hizo kelele. Hata kwenye best 10 hazungumziwi.
Kwao huko lazima atakuwa star labda huku ndio hatumjui. Ni kama vile Wema Sepenga huku kwetu star ila hapo Malawi tu watu hawamjui
Hajawa tu seriousHahah...
Curry ana dunk like any other NBA player ni vile tu hayupo aggressive in doing that tokea akiwa college...he has trained himself to follow his dad's footsteps za kuwa 3pts baller mzuri na amekuwa hivyo...
Unajua Donovan Mitchel, Russell Westbrook wote wapo height(6'3) moja na Curry na wana dunk muda wote na ni play makers pia...or DWayde au John Wall (6'4) wamemzidi Curry just by an inch lakini wana dunk muda wote...
Hata tukija kwenye ball handling, bado kuna wanaomzidi Curry mfano Kyrie Irving...
Statistics nyingine za mtu wa kimo chake kama double-doubles hayupo, mid range 2-points hayupo...
Honestly kwa zile skills za curry nazo ziona " na zile za mj ambazo nimeziona nachelea kusema curry ni bora kuliko mj .Mj yuko overrated tu dhidi ya curry ...jamaa ana cheza mpira huku team nzima ikiwa imeweka matumaini kwake ..anafunga magoli ya aina yote ..sehemu anayo funga au kutoa pasi hauwezi kutarajia ...licha ya kuwa na mwili mdogo anawapiga chenga mijitu yenye miili mikubwa kama vile watoto wadogo ...mj alicho mzidi Curry ni ku-dunk tu nothing else ..na hiyo ina sababishwa na urefu wa kimo chake
Kwenye hii michezo uzuri wake Takwimu ndio zinaongea,Steph hajafika hiyo level hajitahid amfikie Kobe kwanza ndio umpeleke kwa MJ na Magic
Kwani ukiacha u-star wa mumewe yeye binafsi nini kinamtambulisha kwenye jamii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sawa kabisa mkuu, hiyo comment ya jamaa imenishangaza sana.Steph is just an expert in 3 pts...
Hakuna kitu kingine anaweza sana kuzidi wengine zaidi ya hiyo...
That being said, huwezi fananisha Steph na MJ, unless you didn't watch MJ playin in his prime time...MJ was just MJ....
Kwao huko lazima atakuwa star labda huku ndio hatumjui. Ni kama vile Wema Sepenga huku kwetu star ila hapo Malawi tu watu hawamjui
Hao hao wanaomfahamu wanatakiwa wamshobokeeLabda umaarufu wake utakuwa Bay area tu huko na si kwingineko, au pale Oracle tu baaasi...
Anhaa hapo nimekuelewa sasaJamaa anauchezea mpira kama Tonge la ugali ..... hivi haujawahi kuziona skills zake
Kwamba Curry anapiga crossovers hahaha na Uncle Drew unamuweka kundi gan....M n mshabiki wa Golden states lakin Curry n expert wa 3 points tu,but MJ was a complete package unapata vyoteNimemuona Mj " curry yuko mbali zaidi kiuwezo kuliko Mj " mara nyingi katika maisha watu wa zamani ndio huwa tulivyo huwaga tunapenda Sana kuamini kwamba " vilivyopo katika wakati wetu ndio vilikuwa bora kuliko wakati uliopo au ujao ...kitu ambacho sio kweli ....
Curry ana sifa zote ana kasi ya ajabu.anapiga chenga ambazo hauwezi kuziona kwa mtu yeyote.. anafunga magoli katika nyakati zote tena haswaa katika nyakati ngumu ..sehemu ambayo mchezaji mwingine hawezi kushinda curry anashinda ' ijapo kuwa ana kimo cha wastani lakini anafanya vitu vikubwa ambavyo vimewazidi mijitu ya miraba minne .... bado nasimamia maneno yangu hakuna kama curry
Mahaba bana....hapa husikii wala huoniHonestly kwa zile skills za curry nazo ziona " na zile za mj ambazo nimeziona nachelea kusema curry ni bora kuliko mj .Mj yuko overrated tu dhidi ya curry ...jamaa ana cheza mpira huku team nzima ikiwa imeweka matumaini kwake ..anafunga magoli ya aina yote ..sehemu anayo funga au kutoa pasi hauwezi kutarajia ...licha ya kuwa na mwili mdogo anawapiga chenga mijitu yenye miili mikubwa kama vile watoto wadogo ...mj alicho mzidi Curry ni ku-dunk tu nothing else ..na hiyo ina sababishwa na urefu wa kimo chake
Mwambie awe mkweli tu narudia tena awe mkweli tu31 years anachipukia?? Maaaan naona ndo wajifunza about NBA
Mechi ilikuwa ya Utah Jazz ,Kobe peke yake aliscore 60points,curry bado sana,bila KD GSW zile rings mbili wasingechukua,zote zilikuwa zinaenda CAVS.Mwambie awe mkweli tu narudia tena awe mkweli tu
Huyo kaanza kufuatilia kikapu juzi na kakuta gsw ya moto na hapohapo kawa shabiki wao....we soma tu coment zake anakuambia kakesha youtube kumuangalia MJ hahahaha hakuna alijualo hapo zaidi ya mahaba kwa gsw na curry.....simtofautishi kabisa na hawa mashabiki wa leo wa manchester city.....kikapu cha zamani hakijui na naamini hata kobe wa juzi tu hajawahi mfuatilia akicheza....mwambie tu mechi ya mwisho ya kustaafu kobe matusi aliyofanya kwenye pitch curry hatoweza milele
Gily GruSasa mimi ntamtongozaje huyo wakati dem wangu tu anamnyoosha kwa uzuri na msambwanda juu.