Hahah...
Curry ana dunk like any other NBA player ni vile tu hayupo aggressive in doing that tokea akiwa college...he has trained himself to follow his dad's footsteps za kuwa 3pts baller mzuri na amekuwa hivyo...
Unajua Donovan Mitchel, Russell Westbrook wote wapo height(6'3) moja na Curry na wana dunk muda wote na ni play makers pia...or DWayde au John Wall (6'4) wamemzidi Curry just by an inch lakini wana dunk muda wote...
Hata tukija kwenye ball handling, bado kuna wanaomzidi Curry mfano Kyrie Irving...
Statistics nyingine za mtu wa kimo chake kama double-doubles hayupo, mid range 2-points hayupo...