Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
Ana uraia pacha?Beki wa Manchester city Aymeric Laporte mzaliwa wa Ufaransa ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uhispania kitakachoshiriki mashindano ya Euro 2022.
Mwaka 2019 beki huyo aliitwa kwenye kikosi cha Ufaransa kwa mara ya kwanza lakini aliondolewa kutokana na majeruhi.
Pia nahodha wa timu hiyo Serhio Ramos ameachwa kutokana na majeruhi.View attachment 1796207
Huyo Laporte kabadili uraia baada ya kuona France wanambania kucheza.Ana uraia pacha?
Kwahiyo inawezekana kutuma maombi kuchezea Taifa unalotaka na kukubaliwa na FIFA bila kuwa na uraia wa Taifa husika?Huyo Laporte kabadili uraia baada ya kuona France wanambania kucheza.
FIFA waliapprove maombi yake ya kuchezea Spain last month if I'm not mistaken
NdiyoAna uraia pacha?
Na uraia unabadili mkuu.Kwahiyo inawezekana kutuma maombi kuchezea Taifa unalotaka na kukubaliwa na FIFA bila kuwa na uraia wa Taifa husika?
Ahsante kwa muongozo mkuuNa uraia unabadili mkuu.
Kama haujawahi kuichezea timu ya wakubwa ya nchi uliyozaliwa inawezekana. Wajuzi watanirekebisha kama nimekosea.
Kwa case ya Laporte hakuwahi chezea senior team ya France. Now ni raia ya Spain by application
Mtaje mmoja unayeona anafaa kuitwaHakuna mchezaji hata mmoja kutoka madrid. Shame shame
NachoMtaje mmoja unayeona anafaa kuitwa