Ayobami junior: HIFADHI hili jina kichwani

Ayobami junior: HIFADHI hili jina kichwani

Moyo unanituma kufanya kitu kwa Ayobami JR Ila sijui nianzie wapi Ila sijaangalia hata vedio yake moja Ila maneno yako yamenijaza upepo na huruma juu yake hasa vile nawaona vijana Wana viapji Ila wameishia mtaani tu .

Sasa muone jamaa kafunga safari kutoka nchi za mbali yupo bongo anacheza ndondo na uwezo anao Ila wanamzingua eti hela kwanza 😭😭

Kaka ikiwa Kuna timu manager atamkubali na akasema ili jamaa aweze kucheza inatakiwa amlipe ndiyo amsajili nitakuwa tayari kulipa hiyo hela chini ya maandishi ya Mimi na huyo meneja kikubwa Ayabamoh JR aende mbele .
Angalia video 📹 zake ni burudani sana,

Nashukuru ikitokea tutatafutana, kwa sasa yupo mkoa fulani, ilitokea timu inahitaji winga na striker, imebidi tuforce kibishi aende tu mengine yatajulikana huko huko.
 
Mpeleke Pale Mikocheni kuna team ya mtaa maskani yake ni barabara ya Lucy Lameck kwenye kijiwe cha bodaboda na madalali. Ile team huwa kwenye mechi wanakodi wachezaji na viongozi wengi wa team kubwa za ligi kuu wanaokaa mitaa ile wanasapoti na rahisi kumchukua mchezaji. Uwanja wao wa mazoezi ni pale kanisani Roma St. Martha hata pale akienda mazoezini itakuwa rahisi
 
Shukrani mkongwe.
Ngoja tusikilizie huko alipoenda, dili lisipotiki basi akirejea dsm, nitampeleka huko.
 
Wana uthubutu wa hali ya juu.
Kuna wengine walikuja Bongo issue yao ni key na radio programing ya gari yoyote wakikwama wanapiga simu nje wanapewa back up. Bongo walipanga apartment walikuwa wanakaa 5. Plan yao ilikuwa kuingia ulaya waliondoka hata miezi 3 haikupita
 
Wana uthubutu wa hali ya juu.
Kuna yule jamaa Afisa habari wa Singida Hussein Massanza aje atuambie hapa hawana program ya training before kufanya usajiri?! Nakumbuka walikuwa na programme kwa ajili ya vijana wadogo,huyo jamaa wako hawezi akampa nafasi aonyeshe alichonacho?!

Sema kupata timu Bongo hawa waafrica Magharibi ni mpaka watoboke si rahisi ni lazima apate wakala atakayekula ten percent
 
Coastal Union angepata nafasi ya kuonyesha uwezo. Ila ajabu watu wa kufanya connection wapo Dar ili wapige simu inatakiwa uwaache vizuri la sivyo utapigishwa story
 
Kwenye hizo video anazunguuka kama kishada na kuwapa kizunguzungu wenzake... huyu si wa kukosa timu hata kidogo
 
Kuna wengine walikuja Bongo issue yao ni key na radio programing ya gari yoyote wakikwama wanapiga simu nje wanapewa back up. Bongo walipanga apartment walikuwa wanakaa 5. Plan yao ilikuwa kuingia ulaya waliondoka hata miezi 3 haikupita
Hawa viumbe ni hatari, katika kundi lao waliokuja kuna mmoja alikuwa ni central Midfielder, fundi sana yule muhuni, anajua sana boli, huyu aliniambia na kunionesha picha, alicheza uturuki ligi daraja 2, akacheza moldova, akarudi kwao kufuta kumbukumbi aanze upya(sikuelewa inafanyikaje) ndio akaja bongo aliposikia bongo ligi ina hela, hakupata timu akarudi kwao, alipokosa timi akasema anarudi kwao ana uhakika hakosi timu kwa siku chache zilizobaki ama lah atafanya training na academy yake mpaka atakapopata timu.

Yaani wanajilipua tu, mengine yatajulikana mbele kwa mbele.
 
Kwenye hizo video anazunguuka kama kishada na kuwapa kizunguzungu wenzake... huyu si wa kukosa timu hata kidogo
Mambo ya riziki, usishangae akakosa haswa ukizingatia hapa bongo lazima umwage pesa ndio apate nafasi.

Nimepata nafasi ya kumuona na kucheza nae jamaa ni fundi saana.
 
Kwenye hizo video anazunguuka kama kishada na kuwapa kizunguzungu wenzake... huyu si wa kukosa timu hata kidogo
Mambo ya riziki, usishangae akakosa haswa ukizingatia hapa bongo lazima umwage pesa ndio apate m
Coastal Union angepata nafasi ya kuonyesha uwezo. Ila ajabu watu wa kufanya connection wapo Dar ili wapige simu inatakiwa uwaache vizuri la sivyo utapigishwa story
Hii ndio changamoto yetu bongoland. Watu wanaendekeza kitu kidogo, hawafikirii mbali, msaidie mtu uwe umewekeza sehemu 2, kwa mungu na huyo uliyemtemdea wema, uliyemtendea wema asipokulipa, malipo kwa mumgu yapo pale pale na ndio bora zaidi, na unakuwa hujapungukiwa kitu sababu kabla yake maisha yako yalikuwa yanaenda vizuri tu, na ikitokea nae akakumbuka akakufanyia wema basi unaoata malipo mara 2.

Na ndio maana wema ni akiba, wema hauozi.
 
Kuna yule jamaa Afisa habari wa Singida Hussein Massanza aje atuambie hapa hawana program ya training before kufanya usajiri?! Nakumbuka walikuwa na programme kwa ajili ya vijana wadogo,huyo jamaa wako hawezi akampa nafasi aonyeshe alichonacho?!

Sema kupata timu Bongo hawa waafrica Magharibi ni mpaka watoboke si rahisi ni lazima apate wakala atakayekula ten percent
Ngoja tuone kama bwana masanza anaweza kuja hapa akajaribu kutusaidia.
 
Dalali anajipromo
VINEGA kama nyinyi wenye mitazamo hasi hamkosekani, hakuna cha promo hapo.
Mie ugali wangu haupatikani kwa mpira hata kwa 1%.
Kama umesoma uzi vizuri hao wanaijeria wapo wengi kidogo ila kwanini nimeweka uzi wake yeye tu, sababu nimeuona ubora wake,
Na video zipo, unaweza mtizama ukajiridhisha.
 
Comment fupi jibu kitabu
 
Mpeleke timu za mikoani akaanzie huko kisha uwezo wake utampeleka mjini.
1.Mashujaa
2. Pamba jiji
3.Costal union
4.KenGold
5. Fountain gate
6.Kagera sugar
Na zinginezo.
Yanga, Simba na Azam siyo za mikoani?
 
Kwa sifa nilizosoma hapa, natamani kumuona huyo dogo kwenye NBCPL. Mungu atamfanyia wepesi
 
Back
Top Bottom