nimewahi kuiona yaani mikono ni mifupi halafu mamikono ya shati yanajitokeza nje ya mikono ya suti kwa kiasi kikubwa
kwa hiyo hao wengine wanawezaje kununua, na yeye ashindwe hadi avae suti inayoishia kifuani? I wish nimuone. lakini nilishawahi kusikia watangazaji was star tv huvishwa na kampuni na ndiyo maana wanapendeza.natamani nimuone huyo Ayoub nishuhudie ninayoyasikia.
Wananunua wenyewe na mshahara wake ni tsh. 340,000/= je ataweza nunua suti? Star tv ni moja ya vituo vya tv ambavyo vimedhulumu na vinaendelea kudhulumu wafanyakazi wake kila kukicha na hawana mtetezi. Ni vigumu kununua suti kwa vijimshahara wanavyotoa kwani hata shati utanunua kwa shida.
Aisee Suti inaishia kifuani si Top tena hiyo au kizibau sijui kizibao!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app