Ayoub Daudi wa Star TV

Ayoub Daudi wa Star TV

nimewahi kuiona yaani mikono ni mifupi halafu mamikono ya shati yanajitokeza nje ya mikono ya suti kwa kiasi kikubwa
 
nimewahi kuiona yaani mikono ni mifupi halafu mamikono ya shati yanajitokeza nje ya mikono ya suti kwa kiasi kikubwa

kama ni kweli aonapo post hii ajirekebishe aige mfano was Bernard na Raymond
 
kwa hiyo hao wengine wanawezaje kununua, na yeye ashindwe hadi avae suti inayoishia kifuani? I wish nimuone. lakini nilishawahi kusikia watangazaji was star tv huvishwa na kampuni na ndiyo maana wanapendeza.natamani nimuone huyo Ayoub nishuhudie ninayoyasikia.

Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kama wananunuliwa iweje avae vipensi ya suti? Jiulize.
 
Aisee Suti inaishia kifuani si Top tena hiyo au kizibau sijui kizibao!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Wananunua wenyewe na mshahara wake ni tsh. 340,000/= je ataweza nunua suti? Star tv ni moja ya vituo vya tv ambavyo vimedhulumu na vinaendelea kudhulumu wafanyakazi wake kila kukicha na hawana mtetezi. Ni vigumu kununua suti kwa vijimshahara wanavyotoa kwani hata shati utanunua kwa shida.

ndo sababu inayomfanya avae suti inayoishia kifuani?
 
Si yule jamaa huwa anasoma habari za za mchana, hata mi nilimewahi kumwona ila hiyo siku suti iliishia magotini na mikono sikuiona kabisa, sijui ni yale makoti ya sh 3000 pale Boma au Ilala!
 
Back
Top Bottom