Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
- Thread starter
-
- #41
Thank you....tumalizie kipindi Cha pili Mkuu....byee[emoji848]
Njoo tena usemeUnamuongelea Lakred au Lukred? Kama Watanzania ni wajuaji basi wewe ni msahaulifu mkubwa. Mechi na Power Dynamos ulikuwa hujazaliwa?
Tatizo ubaguzi mkuu.Mkuu huyu Ni bonge la kipa....inshu tunakariri....kila siku acheze yuleyule kumbe Kuna mchezaji Bora pia ambaye mkamchukulia POA kumbe yupo vzr sana
Mkuu huyu Ni bonge la kipa....inshu tunakariri....kila siku acheze yuleyule kumbe Kuna mchezaji Bora pia ambaye mkamchukulia POA kumbe yupo vzr sana
Hawezii kuwa Bora bila ushirikiano.....atafanya kwa nafasi yake lakini timu ikizingua hawezi kufanya kitu Cha ziada mkuu
Kama uliangalia ile game Vs Asec save aliyofanya aisee Ni bonge la kipaa, binafsi sielewagi kwanini huyu mwamba anapondwa, makosa yapogo tuu kwenye mpira Ni kipa gani duniani mzuri hajawahi kufanya makosa ya kiboya?
Ana footwork nzuri Sanaa na Ni kiongozi kwa mabeki kumshinda MANULA, huyu atatusaidia Sana akiendelea kuaminiwa mwisho wa siku mashibiki mdomo kimyaaaaa!!!...Kama ilivyo kwa kibu tu.
Kama unahisi hajui kadake ww...mtu anacheza goalkeeping kakosea kidogo HAJUI. Yanga wanatuchora tuuu!!!, Sisi tunaendelea kuingiaa Cha kike kila siku kumkataa kipa mzuri.
Manula mda wake unaisha, kuumia sio kwa Bahati mbaya ila ndio ivyo hawezi kurudi kuwa Bora Tena ( hata akirejea atawadakia mpaka lini?? ). Huu ndio ukweli ambao mashabiki wenzangu wa Simba hawataki kuusikia!!
Mpira una mwisho (Ni career fupi) mda ukifika inabidi na wengine wapate nafasi, kwanini hatuigi kwa wenye mpira wao (Europe nk).
Kila siku maswali Ni Yale Yale kwanini CHAMA ajaanza, kwanini phiri achezi, kwanini Manula hakucheza na yupo fiti (alipocheza Vs mtani kwanini amecheza hayupo na hayupo fit...stupid).
Ifike mda tuache Mambo yaendee....tuwaachie wenye profession zao wafanye kazi, sometimes tunajiuliza Nani MCHAWI kumbe mchawi Ni sisi wenyewe mashabiki.
Nawasilisha
Hakujua alilosemaNjoo tena useme
Hapana lile goli haliwez kuamua ubora wa golikipa aiseeHakujua alilosema
Mwisho wa safari?. Mbona Ngoma bado mbichi kabisa?Mimi hii Simba bhana wanajitahidi ila wengi Sana......WW km Ni mzee utacheza TU kwa kujitahidi ili pumzi huna!!!!.....kapombe,zimbwe Hawa Ni wazee hawana jipya, wanajitahidi TU.......huu ndio mwisho wa Safari yetu
Leo tumepigwa ila Cha ajabu kesho tukirudiana akipangwa Ally Salim lazima wahoji....kwanini ayoub hakucheza??? HasaHasa tukifungwa......Leo hawawezi kumuhusisha LAKRED kabisaa Ila akifanya vibay Sasa......mmmh!!!! Mama weeeeMkuu Kuna watu haswa wa Yanga ndio wanamponda kwasababu ni Mzuri iliSimba Wamkose Either wanchukue wao! Au Tuendelee kuharibu!
Fitina Kaka…Penge Riziki hapakosi fitina,
Wapo marafiki pia wa Makipa wa Hapa Bongo wanamponda ili Marafiki zao makipa wapate nafasi! akili kichwani Kaka!
Jana nimemuandika Baleke mara 2 kwenye Uzi wa updates nikafokewa, Bora na wewe umemuona. Nàrudia;Leo tumepigwa ila Cha ajabu kesho tukirudiana akipangwa Ally Salim lazima wahoji....kwanini ayoub hakucheza??? HasaHasa tukifungwa......Leo hawawezi kumuhusisha LAKRED kabisaa Ila akifanya vibay Sasa......mmmh!!!! Mama weeee
Chama
Saido
phiri
Onana
Kapombe
Zimbwe
Sio wachezaji wa kuichezea Simba aisee Ni wa kawaida
Baleke
INONGA
Hawa pia nahisi imani TU zinawabeba ila pia watawafuata wenzio hapo juu Ni suala la muda nipo.....paleeeeee
Cha ajabu wasiojua mpira watasema onana ndio MAN OF THE MATCH......atasifiwa Sana onana na kuonekana shujaa bila kujaa huyu niliomsifu na kuona ubora wake ndio katubeba kwenye mechii hii ngumu.... otherwise tungekufa 4 first half tuLeo Ayoub ametuokoa kwa mara nyingine tena,ila Baleke hajitumi kwakua tayari amechukuliwa na Tp Mazembe
Ndio hivyoo mkuu...wengi hawajui misingi ya football ipoje