Ayoub Lakred mnamchukulia poa atawashangaza!

Ayoub Lakred mnamchukulia poa atawashangaza!

Nadhan Manula anamloga sana huyu jamaa

Shida yule mpogolo anapuliza sana . This time kaja kocha wa kiarabu anaongea na muarabu mwenzie mubashara

Haiwezekan ile game ya Yanga Manula adake……. Haikuwa tu kupona, hata fitness’s hakuwa nayo.

Yule jamaa haoni vema na anapewa game ivo ivo
 
Mkuu huyu Ni bonge la kipa....inshu tunakariri....kila siku acheze yuleyule kumbe Kuna mchezaji Bora pia ambaye mkamchukulia POA kumbe yupo vzr sana

Mchawi yule Mpogolo
Na hata akienda golini lazima aende na unga unga na kile kitaulo chake

Siamini katika uchawi but hiyo myth ipo

Ndugu zake Mshana huyo
 
Kama uliangalia ile game Vs Asec save aliyofanya aisee Ni bonge la kipaa, binafsi sielewagi kwanini huyu mwamba anapondwa, makosa yapogo tuu kwenye mpira Ni kipa gani duniani mzuri hajawahi kufanya makosa ya kiboya?

Ana footwork nzuri Sanaa na Ni kiongozi kwa mabeki kumshinda MANULA, huyu atatusaidia Sana akiendelea kuaminiwa mwisho wa siku mashibiki mdomo kimyaaaaa!!!...Kama ilivyo kwa kibu tu.

Kama unahisi hajui kadake ww...mtu anacheza goalkeeping kakosea kidogo HAJUI. Yanga wanatuchora tuuu!!!, Sisi tunaendelea kuingiaa Cha kike kila siku kumkataa kipa mzuri.

Manula mda wake unaisha, kuumia sio kwa Bahati mbaya ila ndio ivyo hawezi kurudi kuwa Bora Tena ( hata akirejea atawadakia mpaka lini?? ). Huu ndio ukweli ambao mashabiki wenzangu wa Simba hawataki kuusikia!!

Mpira una mwisho (Ni career fupi) mda ukifika inabidi na wengine wapate nafasi, kwanini hatuigi kwa wenye mpira wao (Europe nk).

Kila siku maswali Ni Yale Yale kwanini CHAMA ajaanza, kwanini phiri achezi, kwanini Manula hakucheza na yupo fiti (alipocheza Vs mtani kwanini amecheza hayupo na hayupo fit...stupid).

Ifike mda tuache Mambo yaendee....tuwaachie wenye profession zao wafanye kazi, sometimes tunajiuliza Nani MCHAWI kumbe mchawi Ni sisi wenyewe mashabiki.

Nawasilisha

Mkuu Kuna watu haswa wa Yanga ndio wanamponda kwasababu ni Mzuri iliSimba Wamkose Either wanchukue wao! Au Tuendelee kuharibu!
Fitina Kaka…Penge Riziki hapakosi fitina,
Wapo marafiki pia wa Makipa wa Hapa Bongo wanamponda ili Marafiki zao makipa wapate nafasi! akili kichwani Kaka!
 
Mimi hii Simba bhana wanajitahidi ila wengi Sana......WW km Ni mzee utacheza TU kwa kujitahidi ili pumzi huna!!!!.....kapombe,zimbwe Hawa Ni wazee hawana jipya, wanajitahidi TU.......huu ndio mwisho wa Safari yetu
 
Mwisho wa safari?. Mbona Ngoma bado mbichi kabisa?
 
Alafu Huyu INONGA naona Kama simuelewi....espically toka mechii ile na Yanga.....mayele alipofunga mbili Kuna kitu hakipo sawa kwakee
 
Mkuu Kuna watu haswa wa Yanga ndio wanamponda kwasababu ni Mzuri iliSimba Wamkose Either wanchukue wao! Au Tuendelee kuharibu!
Fitina Kaka…Penge Riziki hapakosi fitina,
Wapo marafiki pia wa Makipa wa Hapa Bongo wanamponda ili Marafiki zao makipa wapate nafasi! akili kichwani Kaka!
Leo tumepigwa ila Cha ajabu kesho tukirudiana akipangwa Ally Salim lazima wahoji....kwanini ayoub hakucheza??? HasaHasa tukifungwa......Leo hawawezi kumuhusisha LAKRED kabisaa Ila akifanya vibay Sasa......mmmh!!!! Mama weeee

Chama
Saido
phiri
Onana
Kapombe
Zimbwe

Sio wachezaji wa kuichezea Simba aisee Ni wa kawaida

Baleke
INONGA

Hawa pia nahisi imani TU zinawabeba ila pia watawafuata wenzio hapo juu Ni suala la muda nipo.....paleeeeee
 
Jana nimemuandika Baleke mara 2 kwenye Uzi wa updates nikafokewa, Bora na wewe umemuona. Nàrudia;
BALEKE!!!
 
Leo Ayoub ametuokoa kwa mara nyingine tena,ila Baleke hajitumi kwakua tayari amechukuliwa na Tp Mazembe
Cha ajabu wasiojua mpira watasema onana ndio MAN OF THE MATCH......atasifiwa Sana onana na kuonekana shujaa bila kujaa huyu niliomsifu na kuona ubora wake ndio katubeba kwenye mechii hii ngumu.... otherwise tungekufa 4 first half tu
 
Back
Top Bottom