Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni mashine sana.
Simba msije kusema hatukuwaambia, lakini narudia kuwashauri Israel Mwenda atafutiwe beki wa kulia mwenzake mzuri, huyo sio mwingine ni Kevin Kijiri
Simba msije kusema hatukuwaambia, lakini narudia kuwashauri Israel Mwenda atafutiwe beki wa kulia mwenzake mzuri, huyo sio mwingine ni Kevin Kijiri