Ayoub Lyanga ni msaada mkubwa endapo Simba mtakuwa naye msimu ujao

Ayoub Lyanga ni msaada mkubwa endapo Simba mtakuwa naye msimu ujao

Kuna namna kadhaa za kuwa free agent. Yeye ni free agent kivipi? Mkataba umeisha yeye ndio hataki kusaini ili aende timu yenye maslahi bora zaidi au mkataba umeisha na Azam hawana nia ya kumuongezea mwingine?
kuwa FREE AGENT ni kumaliza mkataba bila kujali kuwa wanataka kukuongeza au hawataki.Halafu unaweza kuwa mchezaji mzuri sana lakini usiwe kwenye mipango ya timu husika hata kama ni ndogo kiasi gani lakini ukawa wa thamani kubwa kwenye timu kubwa kabisa.Ukitaka mifano sema nitakupa
 
Yaani kapi liachwe Azam lije kushine Simba? Kama kashindwa kuwa weka benchi akina Kipre atawezaje kucheza Simba?
 
Yaani kapi liachwe Azam lije kushine Simba? Kama kashindwa kuwa weka benchi akina Kipre atawezaje kucheza Simba?
Kwa Simba Ipi sasa ashindwe kucheza? kiukweli tu bila kupepesa macho ni kuwa Azam wana kikosi kizuri sana kuliko Simba.Kwahiyo Ayoub Lyanga kukosa nafasi Azam ni kitu cha kawaida sana kwa ubora wa kikosi walichonacho lakini kwa Simba hii ya Mawinga Willy Esomba Onana sijui Ladack Chasambi na Edwin Balua anacheza vizuri tuu.
 
Ayoub Lyanga ni mchezaji mwenye kipaji ameshacheza national team inapaswa aombe yeye mwenyewe kurudi nyumbani Coastal union Mangushi kukiwasha shirikisho. Atawafaa sana. Akikosa huko basi aende japo KMC, Ihefu au Singida big stars.
 
Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni mashine sana.

Simba msije kusema hatukuwaambia, lakini narudia kuwashauri Israel Mwenda atafutiwe beki wa kulia mwenzake mzuri, huyo sio mwingine ni Kevin Kijiri
Lyanga ni mzuri sana tatizo majeruhi yalimuharibia kule azam
 
Back
Top Bottom