Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Yaani mchezaji aliyeachwa Azam asajiliwe na Simba? Mbona umetudharau hivyo?Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni mashine sana.
Simba msije kusema hatukuwaambia, lakini narudia kuwashauri Israel Mwenda atafutiwe beki wa kulia mwenzake mzuri, huyo sio mwingine ni Kevin Kijiri
balua atacheza wapi?Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni mashine sana.
Simba msije kusema hatukuwaambia, lakini narudia kuwashauri Israel Mwenda atafutiwe beki wa kulia mwenzake mzuri, huyo sio mwingine ni Kevin Kijiri
mechi nyingi msimu ujao kaka kwahiyo Balua atacheza sana tubalua atacheza wapi?
Simba ni kubwa kwenye Makaratasi tu ila kiuhalisia kwasasa timu imechoka ndo maana tulikuwa tunamtegemea Babu Saidoo na ndo mfungaji bora wa Simba kwa misimu miwili kwahiyo kipindi cha kuijenga upya timu ukipaniki na kukurupuka unaishia kupata magarasha mengine kama kina Jobe na Babacar SarrKwa ukubwa wa Simba sitegemei kuchukua mabaki ya wachezaji walioachwa.
Unasukumia dampo la kariakoo!Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni mashine sana.
Simba msije kusema hatukuwaambia, lakini narudia kuwashauri Israel Mwenda atafutiwe beki wa kulia mwenzake mzuri, huyo sio mwingine ni Kevin Kijiri
Shabani Idd Chilunda ni Mchezaji mzuri tu sema Simba yangu ina mihemko tu sasa ulipomuacha Chilunda akaja jobe kilitokea nini? Chilunda hakupewa nafasi kwahiyo siwezi kumjajiHalafu mwisho wa siku anakula tu mshahara kama alivyofanya Shaban Chilunda! Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu.
mudathir yupo wapi sasa. ignorance na mashabiki wa simba.Yaani mchezaji aliyeachwa Azam asajiliwe na Simba? Mbona umetudharau hivyo?
mudathir ni idea kubwa moja wapo. aliachwa azam, kidogo aache mpira kabisa. today yupo Yanga 1st 11.Unasukumia dampo la kariakoo!
Sio dharau kwa lugha ya mpira huyo mchezaji ni Free agentYaani mchezaji aliyeachwa Azam asajiliwe na Simba? Mbona umetudharau hivyo?
Hahahahaha..hajui kuwa huyo ni Free Agentmudathir yupo wapi sasa. ignorance na mashabiki wa simba.
Ahahahahaha! Kumbe Mudathir aliachwa na Azam? Sikuwahi kujua Hilo! Ahahahahaha!!mudathir yupo wapi sasa. ignorance na mashabiki wa simba.
Kuna namna kadhaa za kuwa free agent. Yeye ni free agent kivipi? Mkataba umeisha yeye ndio hataki kusaini ili aende timu yenye maslahi bora zaidi au mkataba umeisha na Azam hawana nia ya kumuongezea mwingine?Sio dharau kwa lugha ya mpira huyo mchezaji ni Free agent
hata Mbappe kaenda Madrid Free Agent kwahiyo nae ni mchezaji mbaya?Sio dharau kwa lugha ya mpira huyo mchezaji ni Free agent
Ndio maana nasema sio mbaya hiyo kuachwa ktk lugha ya mpira tunaita free agenthata Mbappe kaenda Madrid Free Agent kwahiyo nae ni mchezaji mbaya?
Yuko huru au hayuko huruKuna namna kadhaa za kuwa free agent. Yeye ni free agent kivipi? Mkataba umeisha yeye ndio hataki kusaini ili aende timu yenye maslahi bora zaidi au mkataba umeisha na Azam hawana nia ya kumuongezea mwingine?