Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
"Je, ni lini Serikali itapeleka fedha za kutosha kukamilisha kituo cha Afya cha Ngimu katika Jimbo la Singida Kaskazini" - Mhe. Aysharose Mattembe, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida.
"Nimuhakikishie Mbunge Aysharose Mattembe kuwa tayari tumeshakiingiza kituo cha Afya kwenye orodha ya vituo ambavyo vinatafutiwa fedha kwenye mwaka ujao wa fedha ili kiweze kujengwa majengo yaliyopungua" -
Dkt. Festo Dugange, Naibu Waziri TAMISEMI (Afya).