Ayshery Katika Jamii Forum! Wanabodi Naomba Kukaribishwa Jf Nami Ni Mwenzenu!

Sema suuuu!!![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Habari Zenu Wakuu Nimekuwa Nikifuatilia Jf Kwa Kipindi Nikiwa Nje Lakini Sasa Imenivutia Nimeamua Kujiunga Nanyi, Naimani Mtanipokea Kwa Ushirikiano Kama Mwanajamii Mwenzenu! Shukran,

Aysher
Welcome bby
 
Haya karibu mkuu maana ukileta utoto watu hawakawii kukudandia
 
karibu sana, ila kwa muda huu nibudi kukupumzisha mgeni, ila jogoo likiwika tu nakuja kukujulia khali.
tupiamo kapicha kidogo kanasaidia
 
Ahsante pleo nawatakia usiku mwema wote mlio nikaribisha hata wale ambao bado naimani pakikucha tutakua pmj..
 
Karibu Sana binti..hapo kwenye red ulitaka kumaanisha nini??
 
Habari Zenu Wakuu Nimekuwa Nikifuatilia Jf Kwa Kipindi Nikiwa Nje Lakini Sasa Imenivutia Nimeamua Kujiunga Nanyi, Naimani Mtanipokea Kwa Ushirikiano Kama Mwanajamii Mwenzenu! Shukran,

Aysher
Mbona kama ni mkongwe wewe..

Anyway! Karibu lakini
 
Back
Top Bottom