Ayshery Katika Jamii Forum! Wanabodi Naomba Kukaribishwa Jf Nami Ni Mwenzenu!

Karibu hadi PM,JF ni tamu sana kama utakuja PM kwangu dear!
 
Habari Zenu Wakuu Nimekuwa Nikifuatilia Jf Kwa Kipindi Nikiwa Nje Lakini Sasa Imenivutia Nimeamua Kujiunga Nanyi, Naimani Mtanipokea Kwa Ushirikiano Kama Mwanajamii Mwenzenu! Shukran,

Aysher
Karibu sana Aysher, nimependa jina lako Aysher, ukiniruhusu nitakupenda na wewe pia.
 
Huo mdomo kwenye avatar ndo wewe..?
 
Habari Zenu Wakuu Nimekuwa Nikifuatilia Jf Kwa Kipindi Nikiwa Nje Lakini Sasa Imenivutia Nimeamua Kujiunga Nanyi, Naimani Mtanipokea Kwa Ushirikiano Kama Mwanajamii Mwenzenu! Shukran,

Aysher
Karibu sana mgeni.!
 
Naona 'umewakinai' wageni mkuu.
[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] siwezi kuwakinai wageni. Napumzika kidogo kutoka katika kamati ya mapokezi. Lakini nitarejea hivi karibuni.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…