Ayub Lakred ni Golikipa Bora Afrika

Ayub Lakred ni Golikipa Bora Afrika

Utahira wa mashabiki wa Simba umeanza!!!.... Yaani kuingia kwenye kikosi Cha wiki kawa Bora Afrika kwa mechi moja?. Punguzeni mihadarati asee.
wewe mtopolo huna unachojua,

ayub ni nyanda la dunia kabsa
 
Wazee wa misumari muwe na huruma na tajiri na sisi mashabiki. Mchezaji anasajiliwa kwa hela nyingi mshahara mkubwa wewe unalipa laki tu kumpiga misumari
aisee kweli kabsa, wawe na huruma aiseee pesa nyingi zinapotea bila sababu za msingi, kramo amekuja yupo vizuri tuu lakini mpaka leo hajulikani alipo aisee!
 
Kwani Manula alivyokuwa klabu bingwa mbona kakaa sana humu kwenye vikosi vya wiki? Mbona Manula mumemuimba sana kwa jina la Tanzania one? Mbona Manula kaibeba sana kwa saving zake? Wabongo kwa kuwa vinyonga tunaongoza.
nimesema hivyo kwq sababu the way watu walivyokuwa wanamtukana kwamba ni mdaka panzi kumbe watu wana ajenda zao
 
nimesema hivyo kwq sababu the way watu walivyokuwa wanamtukana kwamba ni mdaka panzi kumbe watu wana ajenda zao
Wabongo wakianzisha ajenda za kukuponda kila mmoja atashikilia bango. Usiombwe uchukiwe kosa la beki lawama atapewa kipa
 
simba hatuna tatizo kwenye goalkeeping mzee baba, labda huko kwenu utopoloni
Basi Utopolo wa kwanza atakuwa MO Dewji.
Au hujasoma Twitter yake ya leo Mwanasimba kindakindaki ?

Kama MO mwenye timu yake kasema haridhiki na Makipa wote wa Simba na anatafuta Kipa Mwingine Mimi ni Nani ni mbishie ?
 
alikuwamo kwenye ile list ya magolikipa kumi wa CAF?
 
Basi Utopolo wa kwanza atakuwa MO Dewji.
Au hujasoma Twitter yake ya leo Mwanasimba kindakindaki ?

Kama MO mwenye timu yake kasema haridhiki na Makipa wote wa Simba na anatafuta Kipa Mwingine Mimi ni Nani ni mbishie ?
manara was right!

kule utopolo wenye akili wapo wawili JKikwete na Jumapili manara

wengine wote hamnazo

hiyo tweet ilikuwa kabla ya kusajiliwa ayub lakred mwamba wa miamba, nyanda la dunia
 
Kweli kabisa jamaa ni bonge la goalkeeper!siku za usoni Simba itatisha chini ya Benchika
 
Kipa namba moja Afrika na hatubishani! Hutaki pita huko [emoji57]
 
Back
Top Bottom