aisee kweli kabsa, wawe na huruma aiseee pesa nyingi zinapotea bila sababu za msingi, kramo amekuja yupo vizuri tuu lakini mpaka leo hajulikani alipo aisee!Wazee wa misumari muwe na huruma na tajiri na sisi mashabiki. Mchezaji anasajiliwa kwa hela nyingi mshahara mkubwa wewe unalipa laki tu kumpiga misumari
nimesema hivyo kwq sababu the way watu walivyokuwa wanamtukana kwamba ni mdaka panzi kumbe watu wana ajenda zaoKwani Manula alivyokuwa klabu bingwa mbona kakaa sana humu kwenye vikosi vya wiki? Mbona Manula mumemuimba sana kwa jina la Tanzania one? Mbona Manula kaibeba sana kwa saving zake? Wabongo kwa kuwa vinyonga tunaongoza.
Utahiraaa unakisumbua....wewe mtopolo huna unachojua,
ayub ni nyanda la dunia kabsa
Wabongo wakianzisha ajenda za kukuponda kila mmoja atashikilia bango. Usiombwe uchukiwe kosa la beki lawama atapewa kipanimesema hivyo kwq sababu the way watu walivyokuwa wanamtukana kwamba ni mdaka panzi kumbe watu wana ajenda zao
Website ya caf Confédération Africaine de Football sijaona hiyo orodha. Wewe uliyeona nipe linkwewe ni tomaso nenda Caf yenyewe kwenye site yao kama hutaikuta hii orodha, ukiikosa nidai milioni
Huyo ni Uto mwenzako. Anafikiri hatujamshtukia.Ona hii kolo
Hahahha umeng'amua sioHuyo ni Uto mwenzako. Anafikiri hatujamshtukia.
Basi Utopolo wa kwanza atakuwa MO Dewji.simba hatuna tatizo kwenye goalkeeping mzee baba, labda huko kwenu utopoloni
manara was right!Basi Utopolo wa kwanza atakuwa MO Dewji.
Au hujasoma Twitter yake ya leo Mwanasimba kindakindaki ?
Kama MO mwenye timu yake kasema haridhiki na Makipa wote wa Simba na anatafuta Kipa Mwingine Mimi ni Nani ni mbishie ?
Nasubiria milioni moja yangu. Mpaka leo kimya vipi?wewe ni tomaso nenda Caf yenyewe kwenye site yao kama hutaikuta hii orodha, ukiikosa nidai milioni