Ndo umejua Leo, humu vichaa wengi.We naye kumbe ni mtu wa hovyo kiasi hiki?
Yanga tunavyowafunga nyie mara kibao mnatuuzia?Azam wanapewa penati ya mchongo kabisaa.. kumbe nao wananunua mechi tu km ndugu zao wa utopoloni
Hili kolo tayari limeshabwia unga, linakuja kuropoka kama kawaida yao!Azam wanapewa penati ya mchongo kabisaa.. kumbe nao wananunua mechi tu km ndugu zao wa utopoloni
Kmm