Waminyato
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,197
- 4,525
FK21 wewe na Majaliwa Mvuvi hamna maana kabisa,nyinyi wakutuingiza chaka kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo umejua Leo, humu vichaa wengi.We naye kumbe ni mtu wa hovyo kiasi hiki?
Yanga tunavyowafunga nyie mara kibao mnatuuzia?Azam wanapewa penati ya mchongo kabisaa.. kumbe nao wananunua mechi tu km ndugu zao wa utopoloni
Hili kolo tayari limeshabwia unga, linakuja kuropoka kama kawaida yao!Azam wanapewa penati ya mchongo kabisaa.. kumbe nao wananunua mechi tu km ndugu zao wa utopoloni
Kmm