BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,659
- 2,913
Ukiondoa other channels hujaona nyingine za KikristoKule kuna channel za kikristo nyingi, kwenye other channels amebakisha moja tu ya kiislam. NIlitamani ziendelee kuwepo manake kuna mahuburi sisi wengine huwa tunasikiliza kule. Laiti kama angekuwa amefuta kabla sijalipia kifurushi ningeshukuru. Kwangu hakuna shida kwasababu nina option ya DSTV ndiko nitakakohamia.
Sijui yule mzee wa TING Mchungaji Fernandez aliishia wapi na kile king'amuzi chake, atusambazie ili tusihangaike na hivi vingine ambavyo hawatoi kwa moyo ni hayo tu.