Azam amefuta other channels?

Ukiondoa other channels hujaona nyingine za Kikristo
 
Nisha-experience hii, kuna siku nililipa kifurushi kwaajili ya kutazama Emmanuel tv na Roc tv lakini zikawa hazipo, nikagundua unakuta wapo walio na visimbuzi kwenye mji mwingine zinapatikana.
 
Ukiondoa other channels hujaona nyingine za Kikristo
zipo ambazo sizipendi, kuna mwamposa na nabii suguye, hao wote kwangu mimi siwezi kuwasikiliza. kuna ukatoliki na usabato ambao nawaweka kwenye fungu moja na mwamposa na suguye.
 
hazipo, ila sema ni tv yake, anaweza kuamua kufanya lolote, sema shida ipo kwetu sisi tunaonunua king'amuzi chake na kulipia kifurushi. tunatakiwa kufanya uchaguzi sahihi ili akifunga yeye tunaenda kwa wengine, akifungua tunarudi.
 
Wewe kama Mteja na kuna Wateja wengi kama wewe umejaribu kuwasilisha maoni / masikitiko yako kwao na kuuliza ni kwanini wamefanya walichofanya ?
 
hazipo, ila sema ni tv yake, anaweza kuamua kufanya lolote, sema shida ipo kwetu sisi tunaonunua king'amuzi chake na kulipia kifurushi. tunatakiwa kufanya uchaguzi sahihi ili akifunga yeye tunaenda kwa wengine, akifungua tunarudi.

Jaribu kufanya auto search ya Channel unaweza kuzipata mana mimi hapa kwenye Azam Tv nayotumia hadi muda huu zipo.
 
Shida ya hawa wenzetu Udini ni mwingi amejitokeza mwekezaji mwingine ingekuwa vizuri mtu unakuwa na option
 
malawama ya kijinga jinga na umaskini !!! mbona mimi zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…