Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam imeishindilia goal 7 timu ya Singida United kwa nunge huku chirwa akitupia goal 4 mawili akifunga nado na 1 Ni lakujifunga.Kwa maana hiyo Azam amerudi kwenye nafasi yake ya pili na kumtoa Yanga.
Nafas ya pili ya nn wakat tunachukua kombe la Fadah maskini singida bao 7 kwa hivyo na yanga nafasi ya pili ndio basi tena
Mtaliiba?Nafas ya pili ya nn wakat tunachukua kombe la Fa
Kocha wa utopolo alikuwa anaomba msaada kwa makocha wenzake mechi ya julai 12 na simba wakamwambia awatumie mikanda ya mechi za simba na yanga walipoangalia jinsi simba inavyocheza na wachezaji wa utopolo wanavyocheza wakamwambia wanachoweza ni kumpa mbinu za kupunguza magoli na sio kupata draw au kushindaMtaliiba?
Dah naona Singida Utd kaamua kushuka daraja kwa kishindo[emoji23][emoji2]Azam imeishindilia goal 7 timu ya Singida United kwa nunge huku chirwa akitupia goal 4 mawili akifunga nado na 1 Ni lakujifunga.Kwa maana hiyo Azam amerudi kwenye nafasi yake ya pili na kumtoa Yanga.