Azam ana nafasi kubwa ya kusonga mbele hawa Alkhdar ni Ihefu waliochangamka

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Mpaka sasa inaenda half time azam anaongoza goli moja kwa 0 lakin wameshakosa magoli manne ya wazi kabisa.All the best azam hamna baya.
 
Mpaka sasa inaenda half time azam anaongoza goli moja kwa 0 lakin wameshakosa magoli manne ya wazi kabisa.All the best azam hamna baya.
Azam sijawahnkuwaelewa team inakila kitu ila uwanjani hawachezi mpira wa maana..
 
Jamaa wanapoteza muda sana hawa wa libya.
 
Hii game ngapi ngapi hadi sasa mnaoitazama?
 
Azam wapuuzi sana, muda unapotezwa machezaji yapo tu yanaangalia hayaongei narefa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…