Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Azam atatolewa maana alipigwa 3 bila na timu moja mbovu sanaIkiisha hivi nan anapita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam atatolewa maana alipigwa 3 bila na timu moja mbovu sanaIkiisha hivi nan anapita?
dah!,Azam wanalala yooo.Azam walifanya makosa kuruhusu goli nyingi away.Dk ya 88 Azam 2 Alkh 0
3 0Ugenini azam alipigwa ngapi?
Kwan huu sio mtoano?Azam atatolewa maana alipigwa 3 bila na timu moja mbovu sana
Kwan huu sio mtoano?
Ni mtoano ndio maana nimekwambia azam atatoka kwasababu alifungwa 3 bila wiki iliyopitaKwan huu sio mtoano?
Ni mtoano, Home & Away then anaeshinda matokeo ya jumla anaenda hatua inayofuataKwan huu sio mtoano?
Aaah nljua walitoka 3:1 ugenn.Ni mtoano mkuu.
Mpira wa Africa wa kipumbavu sana,kama kuna mtu anaangalia hii mechi ya Azam atathibitisha hilo
Dah!,mi nimeumia sana Azam kutolewa.[emoji25][emoji24]Mpira umekwisha
Dah!,mi nimeumia sana Azam kutolewa.[emoji25][emoji24]
Ya mama akoAzam ni timu ya watoto au wakubwa