Azam ana nafasi kubwa ya kusonga mbele hawa Alkhdar ni Ihefu waliochangamka

Azam ana nafasi kubwa ya kusonga mbele hawa Alkhdar ni Ihefu waliochangamka

Mpira wa Africa wa kipumbavu sana,kama kuna mtu anaangalia hii mechi ya Azam atathibitisha hilo
 
Nimemind sana hawa jamaa wamepoteza mda kwa makusudi sana na azam wamekaa kimya hapa ilibidi watoke hata uwanjani
 
Mo angekuwa ndo mmiliki wa azam angeshakufaga mda Sana tatizo la azam wanataka kushindana na simba na yanga which is very impossible ni kitu ambacho hakiwezekani
 
Back
Top Bottom