Azam anashinda game mapema tu, kila la kheri

Azam anashinda game mapema tu, kila la kheri

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Yah poleni mlioumia jana ndio hivyo maisha yanaendelea

Nawatakia heri Azam FC kwenye ushindi wao wa leo

Simba wataingiza baadhi ya wachezaji wa benchi na wale wasiocheza

Wale ndugu zangu mnaobet muwe makini msijekosa mboga za wenenu
 
Kwa post hii sisi simba Leo tujiandae psychological maana Boss kashavuta mpunga kutoka kwa Boss wa Azam
Screenshot_20200701-091637.png
 
Mim ni Yanga lakini naomba Azam akubali kufungwa ili Simba apate nafasi ya kukutana na Yanga tukate mzizi wa fitna.
Unakataje mzizi wa fitna na bingwa?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Game imechezwa One week before, na Matajiri wawili Bakharesa na Moh...

Azam anaenda Nusu Fainali
 
Back
Top Bottom