Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwa sasa Makolo wanafurahia haya yanayoendelea Yanga ila nawashauri wafurahie pia pale jeuei ya pesa za Azam zitapotumikia dhidi yao.
Tetesi ni zaidi ya mchezaji mmoja wa Yanga kwenda Azam na hapa ndio utajua nguvu ya pesa inataka kutumika kuwavuruga Yanga.
Ubora wa Yanga unawatesa sana watu sasa wameamua kutumia haki ya mchezaji kusajiliwa na timu nyingine yoyote kupitia usajili wa dirisha dogo kutaka kuwavuruga Yanga.
Tujiulize, wachezaji wote wa Azam wanalipwa vizuri kama wanavyotaka kumlipa Fei hata kama kila mchezaji analipwa mshahara kulingana na walivyokubaliana?
Akimalizana na Yanga, atahamia Makolo FC amchukue Chama na Mosses msimu ujao unless Makolo wasiwe tishio kwao kama ilivyo Yanga hivi sasa.
Time will tell.