Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
TV yako ina sehemu ya ku weka hiyo Cam card?Wakuu,, Sasa hivi home kwangu natumia Dishi ya Azam inayotumia docoder ya kawaida..
So naweza kupata Cam card pekee ili niweze kuweka kwenye TV yangu bila kutumia decorder.. maana hii CamCard inasaidia kupunguza matumizi ya umeme kupitia decoder ya kawaida
Ndio inayo mkuu,, ni SmartTvTV yako ina sehemu ya ku weka hiyo Cam card?
Ndio mkuuTV yako ina sehemu ya ku weka hiyo Cam card?
Lipia tangazoKama tv yako ina port ya kuweka card basi watafute kwenye page yao ya instagram @azampesa / azamtv watajie eneo ulipo then watakupa namba ya simu ya wakala wao aliyekaribu yako.
Au watafute kupitia whatsapp kwa namba 0677 822 222
Nipe lipa numberLipia tangazo
😁Lipia tangazo
Njoo pmNipe lipa number
Mimi bado sijapata..Kuna Aliyebahatika Kupata Cam Card?
Camcad nilinunua 145000 wakati ule azam zikiuzwa bei juu sijui kama zimeshuka au laMimi bado sijapata..
Hivi CamCard pekee ni shiling nagpi inauzwa..
Nataka CamCard tu,, dishi nilalo tayari
Mkuu mimi nilikuwa natarajia kununua sony bravia lakini nimejaribu kupitia review yake sijaona port ya kuweka cam card inawezekana kweli tv smart latest ikakosa hiyo kituKama TV yako Ina sehemu ya kuweka card tumia hiyo option
% kubwa ya smart tv hazina camcard portMkuu mimi nilikuwa natarajia kununua sony bravia lakini nimejaribu kupitia review yake sijaona port ya kuweka cam card inawezekana kweli tv smart latest ikakosa hiyo kitu
Ndio mkuuMkuu mimi nilikuwa natarajia kununua sony bravia lakini nimejaribu kupitia review yake sijaona port ya kuweka cam card inawezekana kweli tv smart latest ikakosa hiyo kitu
Kwa ninavyojua hauwezi ondoa Card ya receiver kwenye kingamuzi chake.Mimi bado sijapata..
Hivi CamCard pekee ni shiling nagpi inauzwa..
Nataka CamCard tu,, dishi nilalo tayari
Ndio, unaweza kutumia kwenye receiver/Tv yoyote inayosupport camcard, receiver nyingi za FTA zina hiyo port, camcard ni kama holder ya card ya kingamuzi husika.Kwa ninavyojua hauwezi ondoa Card ya receiver kwenye kingamuzi chake.
Wanakua wame pair card na receiver kuzuia abuse.
Je, ni kweli hii inawezekana ukatoa card ya azam ukaitumia kwenye device nyingine?
Unaweza kusaidia kuweka picha hapa tuone hiyo CamCard iko je?
asante mkuu sikuwa nimeijua hii.Ndio, unaweza kutumia kwenye receiver/Tv yoyote inayosupport camcard, receiver nyingi za FTA zina hiyo port, camcard ni kama holder ya card ya kingamuzi husika.View attachment 2998574