Azam CamCard

Azam CamCard

azam camcard ndio mpango mzima haswa watu tunao ishi nyumba zaku panga, mie ninayo naitumia kwenye laptop ambayo naitumia kwenye projector na enjoy sana..Tv zinazo ruhusu camcard pia zipo, nina mpango waku nunua tv kubwa inayo tumia camcard maduka ya azam zipo pia hizo tv.
*faida kubwa ni una achana na hustle zaku fanya wiring na madishi,
*unaweza agiza yoyote tv,as long as ina ruhusu camcard, mie natumia laptop inashindwaje tv wakati ndio kazi yake haswa kwa tv?
 
Back
Top Bottom