Yeah ni kweli, nadhani Kali zika na Aki patacho😀Coca Cola kusema kweli radha imeisha kabisa. Siku ya kwanza nikajua imechakachuliwa kumbe zote.
Exactly,Ina taste nzuri...........(salamu)
Wakuu, hivi ni mimi tu ambae naona soda za coca cola siku hizi sio kama za zamani? Yan nikiwa na hamu ya cola naona Azam cola ni nzuri inasisimua na ladha nzuri kuliko coca cola, coca cola za siku hizi zimepoaaaa kama ma juice ya kuchanganya na maji an,
Anyway may be ni ulimi wangu tu, vipi kwenu
Mmh bado kwangu coca ni bora japo Azam pia wanajitahidi...........(salamu)
Wakuu, hivi ni mimi tu ambae naona soda za coca cola siku hizi sio kama za zamani? Yan nikiwa na hamu ya cola naona Azam cola ni nzuri inasisimua na ladha nzuri kuliko coca cola, coca cola za siku hizi zimepoaaaa kama ma juice ya kuchanganya na maji an,
Anyway may be ni ulimi wangu tu, vipi kwenu
Nilikunywa koka kola juzi, na hivi haikuw ya baridi, ndio niliipata zaidi 🤣...........(salamu)