Azam Cola ni nzuri kuliko coca cola, nini kimewakuta coca cola

Azam Cola ni nzuri kuliko coca cola, nini kimewakuta coca cola

Umasikini mbaya mnoo. Umewahi kunywa COCA Cola ya kopo ww. Mpk ufananishe na mbunifu wa vingunguti.we n takataka tu
Hahahah kwa hio mkuu soda ya kopo ya buku nao ni utajiri?
Hahahaha anyway, m maskin mkuu
 
Coca-cola na Pepsi nzuri ni za Amerika ya Kusini nchi kama Mexico. Mexico always wana vyakula vizuri ukiwaletea vinywaji vyenye radha ya kipuuzi hawanywi.
Wakati soda za nchi nyingine wanatumia corn syrup kama sweetener, sasa yawezekana na Coca-cola zetu wamebadili sweetener na labda wanatumia maji mabaya. Kinywaji kizuri ni kile kinatumia sukari ya miwa isiyochakachuliwa.
Ahaaaa labda hio mkuu
 
Soko lipo na zinatoka sema sijui kwann kazitoa zile kubwa sokoni, kabakiza tule tutoto,
Sema nae SSB ana upuuzi sometimes
Ila soko limeshuka tofauti na miaka ya nyuma

Maana naona siku hizi Mo Xtra inakimbiza sana

Fursana zilifanya vizuri nazo soko likashuka

Azam hana cosisntency kwenye vinywaji baridi
 
...........(salamu)


Wakuu, hivi ni mimi tu ambae naona soda za coca cola siku hizi sio kama za zamani? Yan nikiwa na hamu ya cola naona Azam cola ni nzuri inasisimua na ladha nzuri kuliko coca cola, coca cola za siku hizi zimepoaaaa kama ma juice ya kuchanganya na maji an,

Anyway may be ni ulimi wangu tu, vipi kwenu
Watu mnajaribu kuharibu biashara ya Coca Cola. Ilishawahi semwa mara sijui wanatumia gesi ya nguruwe nikachoka , mara coca ni ule mmea wa cocaine, sasa tena inakuja ladha. Wapo ambao mpaka wanatuwekea Coca ukiweka kwenue sufuria ukachemsha sukari yake ni balaa utadhani ni Coca pekee ndiyo inasukari.Wewe kama umependa azam cola endelea nayo ila kiukweli Coca Cola bado ipo juu hakuna mfano wake wengi walikuja wakapotea , ulizia Double Cola ilikuwa kanda ya ziwa miaka hiyo.Product za Coca Cola ni best Kuanzia Coca yenyewe, Fanta , sprite , Ginge Rare , Bitter Lemon. Hakuna wa kumfikia Coca ni ya kimataifa. Kidogo Pepsi amejaribu na Pepsi Cola lakini bado Coca Cola ipo juu.Umeshaenda Arusha au Kilimanjaro Ukajaribu? Issue wakati mwingine muulize ni maji ya Dar ndiyo shida ila siyo formular sababu hvi viwanda vina Trade Mark tola Coca Cola International. Shida ni maji yenu. Hata Azam angekuwa anatengeneza hiyo cola yake Mfano kilimanjaro ungeona tofauti ya Dar na ya Kilimanjaro.Tuache kupigia promo bidhaa kwa kukandia zingine . Coca atabaki kuwa juu tu.
 
Coca-Cola ya [emoji631] na nchi za Ulaya ni nzuri sana kuliko ya Bongo
 
Kajaribu ya plastiki utaipenda
Mimi soda zote za plastic huwa nahisi zina taste tofaĂşti na za chupa ambayo huwa ziipendi. Nahisi plastic kuna jinsi zinavyo react na kinywaji kilicho kwenye plastic
 
...........(salamu)


Wakuu, hivi ni mimi tu ambae naona soda za coca cola siku hizi sio kama za zamani? Yan nikiwa na hamu ya cola naona Azam cola ni nzuri inasisimua na ladha nzuri kuliko coca cola, coca cola za siku hizi zimepoaaaa kama ma juice ya kuchanganya na maji an,

Anyway may be ni ulimi wangu tu, vipi kwenu
.............Zingatia ile Coca cola yenye kizibo cheusi ni zero sugar yenye kizibo chekundu ndio radha halisi, usijekuwa umekunywa zero sugar?
 
Back
Top Bottom